Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.
Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.
Your browser is not able to display this video.
MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.
Hawa jamaa hata waseme nini mimi huwa nawachekaga tu coz najua shule kichuani hakuna ila jazba. Wengi wana maisha magumu yanawapelekea kuwa na hasira muda wote, mtu ana hali mbaya wake 4 watoto kama utitiri elimu kayumba hicho sini kizazi cha kajamba nani mwanzo mwisho? Alikopita baba ndipo wanapokuja kupita watoto.

Ni vichwa ambavyo havitafakari tu. Wasubiri watakuja kujua kuhusu hili la bandari wakati kumeshakucha. Eti wanadhani watu wanapinga kwa sababu ni waarabu!
Huyu shehe ni mdini mpumbavu na hana akili timamu kama hao machoko mbona ukanda wenu wote wa pwani wamejaa wengine misikitini mnaswali nao? Hata wengine huko zenji mpaka mahabusu walibanguana kama asemavyo yeye mbona hawakemei au ndio michezo yao?