carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
well done ustadh Alhaj,Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania.
Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande kusameheana na kuvumiliana, badala ya kila mmoja kushikilia maslahi yake bila kuzingatia hali ya nchi.
Kuhusu mchakato wa maridhiano Tanzania Bara, amesema JMAT haiwezi kueleza hatua zilizofikiwa kwa kuwa suala hilo liko mikononi mwa wanasiasa, akibainisha kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha utayari wa kufanya maridhiano na vyama mbalimbali vya siasa.
Amesisitiza kuwa si kila aina ya uanaharakati inafaa, akionya dhidi ya vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani na maisha ya Watanzania. Ameongeza kuwa maridhiano ya kweli yanahitaji pande zote kuthamini utu, kuheshimiana na kuwa tayari kufanya maamuzi magumu kwa manufaa ya taifa.
Chanzo: Nijuze news
Wanajitekenya na kucheka wenyewe hawaMaridhiano ya nini? Shida ni nini mpaka CCM wanataka maridhiano?
Wamemkosea nani na wamemkosea nini, lini, wapi, na kivipi?
Gentleman,Maridhiano ya nini? Shida ni nini mpaka CCM wanataka maridhiano?
Wamemkosea nani na wamemkosea nini, lini, wapi, na kivipi?
Wewe nina uhakika unatabia za kimalaya malaya. Unanunulika kirahisi sana. Na nina uhakika CCM wanakutumia sana na kukupa vijifedha za hovyowell done ustadh Alhaj,
Alhad Mussa Salum π€
Mkuu nimekuona pm mkuu tafadhali Tlaatlaah naomba unisaidie mkuuwell done ustadh Alhaj,
Alhad Mussa Salum π€
Changai hoja mahususi mezani bila mihemko, makasiriko wala kuporomosha matusi jukwaani gentleman na itapendeza zaidi.Wewe nina uhakika unatabia za kimalaya malaya. Unanunulika kirahisi sana. Na nina uhakika CCM wanakutumia sana na kukupa vijifedha za hovyo
Maridhiano ya nini? Shida ni nini mpaka CCM wanataka maridhiano?
Wamemkosea nani na wamemkosea nini, lini, wapi, na kivipi?
well done ustadh Alhaj,
Alhad Mussa Salum π€
Ok.Binafsi sijawahi mwamini kobazi hata siku moja. Kobazi mwenye akili kidogo ni Assad basi
Ushindi 98%Gentleman,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote, ni muhimu sana katika kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya kabla ya 2030 na si vinginevyo.
Hata hivyo,
wanaoridhiana sio lazima wawe wamekosana, ndio maana wachumba huridhiana kwa hiyari zao kufunga ndoa, wafanyibiashara huridhiana kwa hiyari zao kufungua kampuni n.kπ
Maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya na si vinginevyo gentleman,Ushindi 98%
Kuna ulazima gani wa maridhiano?
CCM si iendelee tu bila CDM.
Acheni utaahira. CHADEMA waliomba maridhiano, wakapuuzwa na nyie viongozi wa dini wachumia tumbo mlikaa kimya kabisa wakati CHADEMA walipokuwa wakiomba maridhiano.Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania.
Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande kusameheana na kuvumiliana, badala ya kila mmoja kushikilia maslahi yake bila kuzingatia hali ya nchi.
Kuhusu mchakato wa maridhiano Tanzania Bara, amesema JMAT haiwezi kueleza hatua zilizofikiwa kwa kuwa suala hilo liko mikononi mwa wanasiasa, akibainisha kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha utayari wa kufanya maridhiano na vyama mbalimbali vya siasa.
Amesisitiza kuwa si kila aina ya uanaharakati inafaa, akionya dhidi ya vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani na maisha ya Watanzania. Ameongeza kuwa maridhiano ya kweli yanahitaji pande zote kuthamini utu, kuheshimiana na kuwa tayari kufanya maamuzi magumu kwa manufaa ya taifa.
Chanzo: Nijuze news
Neno KATIBA MPYA umesema weweMaridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya na si vinginevyo gentleman,
hatutaki kua na mchakato wa kupata katiba mpya wenye majambazi kama wale wa ukawa 2015.
Ushindi wa CCM haihusiani na maridhiano, in fact CCM inaweza kupata ushindi wa kishindo kwa 100% 2030, and you can do nothing about that decision of Tanzanians voters π
Hilo ndio lengo kuu la hayo maridhiano tajika ya hiyari miongoni mwa waTanzania gentleman, na sio kadiri mnavyopotoshana wasusia uchaguzi πNeno KATIBA MPYA umesema wewe
huko juu hawataja neno KATIBA,
Niambie maridhiano ni ya nini?