Sheikh Alhad: CHADEMA ni muhimu kuingia kwenye maridhiano kutokana na ukubwa wake

Sheikh Alhad: CHADEMA ni muhimu kuingia kwenye maridhiano kutokana na ukubwa wake

Gentleman,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote, ni muhimu sana katika kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya kabla ya 2030 na si vinginevyo.

Hata hivyo,
wanaoridhiana sio lazima wawe wamekosana, ndio maana wachumba huridhiana kwa hiyari zao kufunga ndoa, wafanyibiashara huridhiana kwa hiyari zao kufungua kampuni n.k🐒
Wenye madaraka hawataki katiba mpya
 
Maridhiano na nani?Kuna mtu katangaza anataka maridhiano??Kwani kuna nini??CCM wao si wanamejeshi yote, hata Chacha kasema juzi majeshi yote ni mali yao, CCM na serikali yao si waliamini katika kuua, kuumiza watu, kupoteza watu, wao si wana siraha na mabunduki na mabomu, waendelee kuyatumia sasa.
Muue watu, muibe kula, then mseme maridhiano, WAJIANDAE kwenda korokoroni tu, hawatatawala milele, na jinai haifi, lazima CCM walipe, yaani muue watoto wa watu halafu mseme maridhiako, mnaumwa ama??
 
Ilani sio sheria mbona walisema bima ya afya kwa wote ndani ya siku mia moja lakini chenga tu.
sio sheria kivipi,
na katiba imaeleza kwamba Chama kitakachoshinda uchaguzi mkuu ilani yake ndio itakayotekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano 🐒
 
sio sheria kivipi,
na katiba imaeleza kwamba Chama kitakachoshinda uchaguzi mkuu ilani yake ndio itakayotekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano 🐒
Ilani sio sheria na haikubani kikatiba unaweza tekeleza au la, vipi Mwana CCM umeenda shule kweli!
 
Ilani sio sheria na haikubani kikatiba unaweza tekeleza au la, vipi Mwana CCM umeenda shule kweli!
Gentleman,
usipotekeza maana yake umewadanganya wananchi right?

sasa si utakua umejidanganya mwenyewe na huwezi kuchaguliwa tena na uliowadanganya? Unajua hilo au ndio vibwengo kuvamia siasa?🐒
 
Huyu ni mwehu chizi kabisa ,anasemaje serikali ya Mama Samia iko tayari kwa malidhiano ,bali shida iko Chadema wakati Chadema walishasema kuwa hawawezi kuungia katika maridhiano wakati mwenyekiti wao yuko ndani ,....... sasa huyo shekhe ubwabwa halijui hilo ??? Kama kweli Serikali ya Samia uko tayari kwa maridhiiano kuna shida gani kumuachia mwenyekiti wa Chadema ???
 
Hakuna shida wala tatizo lolote miongoni mwa waTanzania wote
Sasa maridhiano ni kuhusu nini, kati ya nani na nani, kwa lipi, na vipi.
Kukubaliana na kuamua kwa pamoja njia bora na nzuri zaidi ya kuanzia mchakato wa kupata katiba mpya na hatimae kuipata katiba yenyewe.
Hilo linafanyika kupitia mkutano wa Kitaifa wa majadiiano ya Katiba
Maridhiano ni kutafuta suluhu sijui ni ya kitu gani ikiwahusu akina nani, wamekoseana nini, wapi lini na kwa vipi. labda utueleze
In fact,
maridhiano yatasaidia pakubwa kuepuka matapeli kama wale wa ukawa waliokula pesa za waTanzania na wakatokomea nazo bila kukamilisha mchakato.
Mchakato ulikamilishwa na katiba pendekezwa! kulikoni unasema haukukamilika?
 
Back
Top Bottom