Sheikh Alhad: CHADEMA ni muhimu kuingia kwenye maridhiano kutokana na ukubwa wake

Very stupid idiot. Wakati Lissu anaomba uchaguzi usogezwe mbele kwa mwaka Mmoja si mlimkebehi mkamuona mjinga. Endeleeni nyie na hayo maridhiano yenu achaneni na CHADEMA.
 
Ajiangaalie sana
 
Mazingira ya maridhiano yaandaliwe kabla ikwemo kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa na kufuta kesi zote ingesaidia sana as a pre condtion to true rencocilliation
 
We unamatatizo ya akili sio? Tunataka miili ya waliouwawa tarehe 29.10.2025. Kama hakuna, nakwambia wawazi, tukutane barabarani 29 October. Kitaeleweka tu.
 
wanaoridhiana sio lazima wawe wamekosana, ndio maana wachumba huridhiana kwa hiyari zao kufunga ndoa, wafanyibiashara huridhiana kwa hiyari zao kufungua kampuni n.kπŸ’
Daah! Nimecheka sana. Hivi unaweza kufanya ''reconciliation'' na mchumba wako ili mfunge ndoa! bila ugomvi
Wafanyabiashara hawafanyi reconciliation kufungua kampuni! labda una maanisha consensus.

Nyani Ngabu JokaKuu
 
Daah! Nimecheka sana. Hivi unaweza kufanya ''reconciliation'' na mchumba wako ili mfunge ndoa! bila ugomvi
Wafanyabiashara hawafanyi reconciliation kufungua kampuni! labda una maanisha consensus.

Nyani Ngabu JokaKuu
Kwahiyo gentleman,
mkienda sehemu ya kufunga ndoa hamuulizwi kwamba fulani bin fulani umeridhia fulani awe mume au mke wako wa ndoa? Bali mnaulizwa habari za consensus right?

na je,
mnakua mmegombana hata mridhiane mbele ya mfungisha ndoa? Mi nadhani hakuna kuhamonise ukweli huo mtupu kwa kiingereza cha reconciliation au consensus.
Tukubali ukweli kwamba maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote na muhimu sana na yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya na si porojo zingine πŸ’
 
Tukubali ukweli kwamba maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote na muhimu sana na yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya na si porojo zingine πŸ’
Hoja ipo hapa chini na ndio unatakiwa kujibu
Maridhiano ya nini? Shida ni nini mpaka CCM wanataka maridhiano?

Wamemkosea nani na wamemkosea nini, lini, wapi, na kivipi?
 
Hoja za maridhiano hazikuanza kabla ya 2015? Kipi kilikosekana hadi maridhiano yakakosekana kipindi chote hicho hadi kihitajike sasa?
 
Hoja za maridhiano hazikuanza kabla ya 2015? Kipi kilikosekana hadi maridhiano yakakosekana kipindi chote hicho hadi kihitajike sasa?
yaliyopita si ndwele, tugange yajayo gentleman πŸ’
 

Attachments

  • 1790596150975.jpeg
    276.4 KB · Views: 3
Hoja ipo hapa chini na ndio unatakiwa kujibu
Hakuna shida wala tatizo lolote miongoni mwa waTanzania wote, ispokua ni katika kukubaliana na kuamua kwa pamoja njia bora na nzuri zaidi ya kuanzia mchakato wa kupata katiba mpya na hatimae kuipata katiba yenyewe.

In fact,
maridhiano yatasaidia pakubwa kuepuka matapeli kama wale wa ukawa waliokula pesa za waTanzania na wakatokomea nazo bila kukamilisha mchakato.
Hataki kua na vibaka kama wale tena πŸ’
 
Hunaga aibu?
 
Kuongoza watu ambao hawako pamoja na wewe ni kazi ngumu.

Maridhiano ya kweli yanahitaji ukweli.Kusipkuwepo mardhiano hakuondoi cheo cha mtu wala hakunyang'anyi mshahara wa mtu lakini nchi inaathirika kwa kuwa nguvu ya kiongozi yeyote yule inategemea nguvu na sapoti ya watu wake.

Unaweza kuitwa kiongozi lakini unaowaongoza wasifeel kama wewe ni kiongozi wao hilo ni jambo gumu mno kwenye uongozi.Ili tufike makubaliano na maridhiano ya kweli ni lazima kwanza tutambue kuwa sisi wote ni Watanzania Daraja A bila kujali cheo,itikadi au dini ya mtu.

Tuachane na mambo ya kubamikia watu makes magumu magumu kwanza ni hasara kwa taifa kwani unamweka mtu mahabusu mwaka wakati huyo mtu hastahili kuwepo huko na anashughuli za kiuchumi anafanya.

Pia tuondoe nepotism kwenye nafasi za umma.Vvombo vya dola,mihimili ya nchi kila mmoja ukae kwenye nafasi yake hasa Bunge na mahakama na mwisho kabisa taasisi zinazopaswa kuwa huru zipate uhuru wa kweli.
 
98.9% victory Wala huhitaji MARIDHIANO. tena na chama ambacho hakikushiriki uchaguzi. Unataka nacho kile haramu?Ukiweza tu wewe sheikh kula KITIMOTO Hadharani kabisa basi Natumai nao CDM watashiriki hiyo karamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…