Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

Mbona nasikia huyu mboga yake kubwa ni Kitimoto? Kwani siku hizi hiyo mboga inaruhusiwa? Mnawapa watu majina wasiyostahili kabisa.
 
CCM izo rangi hawakuzichagua kwa bahati mbaya, Wazee walizitafuta hizo rangi wakatafuta maanayake ndio zikatumika katika bendera ya chamacha mapinduzi na taifa kwa ujumla. Zamani mambo yalifanywa kwa weredi mkubwa sio sasa watu wanakurupuka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu yupi?? Maana wako wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa dini na wana siasa wanategemeana. Wote mtajinwao ni watu. Kiongozi wa kidini akitumia watu dhidi ya kiongozi wa kisiasa hawezi kuwa salama, hali kadhalika kiongozi wa kidini akiwapiga vita 'waumini' na viongozi wao hatakuwa salama. Nikune nikukune.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But we dont have green saints

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…