Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

Mkuu huwezi kuupata Usemaji wa Serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafiki kama huyo hana hata hurumu kuwatetea wale mashehe wakioko gerezani mwaka wa nane huu njaa itamuweka pabaya mnafiki huyo hakuna shehe mnafiki kama huyo dunia tangu ianze kuumbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hizo kanzu nyeupe Zina laana? We Alhad omba radhi haraka
 
Nakushukuru Mkuu, tuepuke kunasibisha dini za Mwenyezi Mungu na watu waliojinajisi kwa tamaa za kimwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa hii rangi hakuna mwenye copyright basi haiwezi kuwa sababu kwamba na hao wenye chama husika watakuwa na baraka pia.
Dah Sheikh amka!
 
I think the sheikh said that in the Islamic context.
In Islam, Green serves as a recurring colour-theme throughout the Quran.
It's the colour of many items in Heaven, It's the colour used in reference to the restored earth after being dead and so on.
It is also believed that even the Prophet Muhammad (PBUH), favoured green garments.
It's also important to note, that for Arabs of the time who were living in dry dead deserted areas around Arabia, the Green Color serves as a symbol of life, hope, desire, etc.
 
Hawajisahau hupewa kitu kidogo wanapohudhuria hafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…