Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitafuta fatwaah huyu.Na siku si nyingi huyu shekhe ataropoka hivyo..
Kama alishawahi kumlinganisha magufuli na Mungu basi hata hilo hatashindwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwezi kuupata Usemaji wa SerikaliKwa muda mrefu nimekuwa najiuliza sana kwanini CCM inabarikiwa sana, sasa ndio nimepata jibu, kumbe ni shauri ya ile rangi ya kijani!. Ndio maana CCM itatawa Tanzania milele!.
PKupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
Mnafiki kama huyo hana hata hurumu kuwatetea wale mashehe wakioko gerezani mwaka wa nane huu njaa itamuweka pabaya mnafiki huyo hakuna shehe mnafiki kama huyo dunia tangu ianze kuumbwaSheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Awatetee magaidi!Mnafiki kama huyo hana hata hurumu kuwatetea wale mashehe wakioko gerezani mwaka wa nane huu njaa itamuweka pabaya mnafiki huyo hakuna shehe mnafiki kama huyo dunia tangu ianze kuumbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sheikh anataman hata vazi la kanzu liwe la kijani sema ndo anashindwa ataanzaje kutuambia
Nakushukuru Mkuu, tuepuke kunasibisha dini za Mwenyezi Mungu na watu waliojinajisi kwa tamaa za kimwili.Hamtafautiani na huyu mjinga, naona mnaleta ufarakano wa kidini, Allah anachukia ubaya,uovu na mambo ya kijina ya kuwachonganisha binadamu, moja kama hili la kwenu.
Huyo Alhad sio mwakilishi wa Allah wala mtu yoyote, mi mfanyi kazi wa Serekali
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha, acha kabisa. Hii kwa vile inawahusu "wauaji" wa Lumumba siyo kuchanganya dini na siasa.
Kwa kuwa hii rangi hakuna mwenye copyright basi haiwezi kuwa sababu kwamba na hao wenye chama husika watakuwa na baraka pia.Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Hazina laana bwashee zinaonyesha usafi wa roho!Kwa hiyo hizo kanzu nyeupe Zina laana? We Alhad omba radhi haraka
I think the sheikh said that in the Islamic context.Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Magaidi rangi yao ni nyekundu!Mange Kimambi yule mtu wako ameanza shida huku anamhusisha Allah na genge la kigaidi
Hiyo shekhe njaa naye kazi kweli kweli.
Mafundisho ya kiislamu bana, ni vituko vitupu
Allah Siyo Yehova Wala Yehova Siyo Allah
Hawajisahau hupewa kitu kidogo wanapohudhuria hafla.Dah inasikitisha sana siku hizi kuona "VIONGOZI WA DINI (Masheikh na Mapadri) wakijisahau kumtumikia mungu na kujiingiza kwenye siasa. Viongozi wa dini wanajivalisha ngozi ya unafiki.
Wanajifanya kujinyamazisha na kujisahaulisha ukweli kuwa mungu amekataza na hapendi kwa kutilia mkazo "MAUWAJI/UTEKWAJI/UKANDAMIZWAJI/UONEVU" wa raia.
Vyeo vyote ni dhamana mbele ya mungu, na kila mwenye cheo atahojiwa siku ya kiama kuhusu utawala aliokua nao na aliowatawala (Wataulizwa kama walitenda "UADILIFU" mpaka kwa wanyama kama mbwa waliokua chini ya utawala wao).
DUNIA ni "PEPO" kwa wasiomuogopa mungu, na ni "GEREZA" kwa wanaomuogopa mungu.