Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Huwa nachukia kweli kuona wajinga wakichanganya Kiingereza na Kiswahili
 
Kwahiyo ukikosea kwenye dini unahitaji heshima bakwata hamna uwezo wakutuongoza waislam Badala yakuomba radhi nakujiudhuru unahitaji heshima uislam sio maliyako kwajili ikunufaishe wewe kidunia achia ngazi kwa kumuokopa muumba wako sio nwanachama wa ccm kule humkuti magu mwenyekiti wachama
 
Get rid of Alhad
Wakati sasa wa Mashia kuongoza BAKWATA
Nao pia ni waislamu
Mashia wanayo TAQWA
Hawana njaa
Muangalieni Maulana Jalala
Nenda Kibaha mizani
Bonge la shule
Bonge la hospital
Nakadhalika
BAKWATA aibu tupu
 
Hahaha masheik huwa wana mikwara sana, msikie anaongea kama ana kidonda kwenye ulimi au mtoto anayejifunza kuongea.

Huyu sheikh wa mkoa nani alimpa mkoa huu?!

Usheikh wa mkoa uko kwenye usilam tu?!

Mbona sijasikia mchungaji wa mkoa?!
 
Aise! Ila wengine watadai sawa masheikh, ila ni binaadamu kwanza, hivyo wivu, husuda, hasira, kiroho nk..nk. lazima vijitokeze, ila wametia albu mbele ya waumini wao..
 
CHANNEL TEN ni mali ya CCM iliyopatikana kwa njia zisizofahamika, shukurani zimwendee Rostam Aziz.
 
Huyu Sheikh Mohamed Eid afadhali anatufundisha japo mi sio mfuatiliaji sana. Mara chache sana.
Shida ni huyu muimba taarab wa mkoa. Ningepata CV yake ningefurahi sana.
Baasi kama unavyosema amesoma huyo wa mkoa inaonekana kabisa Elimu yake haimsaidii kabisa. Ni wale waliosoma then hawana hata impact ktk jamii. Hana tofauti ya wale ma Ustaadh wetu wa Madrassa wale. Kabisa.
Going places yes km ulivosema coz at least inakupa exposure ya masuala mbali mbali. Sasa sio going places kwenda kula bata I'm sure this is the case huyo wa mkoa I mean kwenda kufundisha jamii mbali mbali inacreate humility na busara sana. Wewe kila siku umejifungia Dar kila mtu anakuabudu Wewe ukitukanwa kidogo tu ntakusomea albadiri....kweli?!!?? Umsomee Mange kimavi albadiri figure kubwa km wewe?!! Shocking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…