Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 kama ameupiga mwingi unategemea nini.Kwahiyo boss unamuunga mkono sheikh?
Hawezi wakati keshaweza mwaka mzima anaongoza sasa hawezi nini? Shekhe ana lake jambo tuSikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
We elewa Tu mwanamke ni kiumbe dhaifu chenye upungufu wa akili....hakiwezi kukuongoza ukaendelea hata siku 1Hedhi ni dhambi? Wanawake wanachagua kuingia au kutoingia hedhi?
Mwanamke asiyeingia hedhi kwa sababu mbalimbali anaweza kuongoza? Ninataka kuelewa
Hiyo Ni umagharibi mkuu...sio uafrika HuoHaki sawa kwa wote mkuu.
Tunaongozwa kutokea Msoga! Huoni tunavyoongozwa kipumbavu wewe?Hawezi wakati keshaweza mwaka mzima anaongoza sasa hawezi nini? Shekhe ana lake jambo tu
Sawaa mariaTujue matumizi ya maneno, sii katika mafundisho ya dini yoyote kuombeana laana kama unavyofanya hivi...
We elewa Tu mwanamke ni kiumbe dhaifu chenye upungufu wa akili....hakiwezi kukuongoza ukaendelea hata siku 1
LiniSisi pia kama nchi tulikubaliana nao.
LiniSisi pia kama nchi tulikubaliana nao.
Faiza njoo utie neno hapa tupate ilimu zaidi.Sheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke anaeingia hedhi ....Astaghfirullah laanatulillah
Sio vichaa.Aisee kwahiyo mama yako, binti yako, dada zako, shangazi zako wote wana upungufu wa akili kwa lugha nyingine vichaa sio?
Ukweli utabaki palepale, hawakutaka kuongozwa na yule mama.Walimuibia kura.
Sio vichaa.
Wana akili....lakini haifikii ya mwanaume.
We hukushtuka Tu darasani uliposoma kuwa wanasayansi waliogundua vitu duniani 99% Ni wanaume???
Katiba haina ubaguzi juu ya aina ya jinsi ya mtu katika kustahili kuwa kiongozi wa nchi. Na tena masuala ya jinsia kikatiba yanawapa upendeleo zaidi jinsi ya "Ke" kwa kuwa wanaonekana wapo nyuma zaidi kimaendeleo kwa kuwalinganisha wenzao wa jinsi ya "Me".Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036