Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

We elewa Tu mwanamke ni kiumbe dhaifu chenye upungufu wa akili....hakiwezi kukuongoza ukaendelea hata siku 1

Aisee kwahiyo mama yako, binti yako, dada zako, shangazi zako wote wana upungufu wa akili kwa lugha nyingine vichaa sio?
 
Aisee kwahiyo mama yako, binti yako, dada zako, shangazi zako wote wana upungufu wa akili kwa lugha nyingine vichaa sio?
Sio vichaa.

Wana akili....lakini haifikii ya mwanaume.
We hukushtuka Tu darasani uliposoma kuwa wanasayansi waliogundua vitu duniani 99% Ni wanaume???
 
Sio vichaa.

Wana akili....lakini haifikii ya mwanaume.
We hukushtuka Tu darasani uliposoma kuwa wanasayansi waliogundua vitu duniani 99% Ni wanaume???

Kama 1% ya wagunduzi ni wanawake una uhakika gani hakuna 1% ya wanawake kwenye uongozi?

Then swali langu la msingi liliuliza kuna uhusiano kati ya hedhi na udhaifu wa wanawake? Kwanini kitu ambacho ni natural kwa wanawake kigeuke udhaifu? Kuingia hedhi ni dhambi?
 
Katiba haina ubaguzi juu ya aina ya jinsi ya mtu katika kustahili kuwa kiongozi wa nchi. Na tena masuala ya jinsia kikatiba yanawapa upendeleo zaidi jinsi ya "Ke" kwa kuwa wanaonekana wapo nyuma zaidi kimaendeleo kwa kuwalinganisha wenzao wa jinsi ya "Me".

Hivyo "Ke" wanaonekana kama ni kundi maalum lenye kuhitaji kuzidi kupendelewa ili kuweka uwiano ulio sawa na wenzao wa jinsi ya "Me". Akumbuke kauli imekwisha kutolewa na kuungwa mkono na wajumbe wote wa mkutano mkuu maalum wa CCM ni yeye tu kama kocha wa sasa wa Yanga/Simba, na ambaye ndiye pekee mwenye kustahili kupewa dhamana wa kuliongoza benchi lililopo la ufundi.

Kocha msaidizi akitajwa kuwa ni Kinana, sidhani hata kama jina la Dkt. Philip Mpango lilikumbukwa pale kama naye ni sehemu ya benchi la ufundi ama naye pia kocha msaidizi. Sana sana tulilisikia jina la January Makamba likisadifiwa kwa maneno mazuri mazuri kama vile ilivyokuwa katika siku ya kumbukizi ya marehemu Moses Nnauye.
 
Back
Top Bottom