Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke anaeingia hedhi ....Astaghfirullah laanatulillah

Mnaakili za kingoloko sana. Kwanza mtu wa miaka 60 anaingia hedhi ipi
 
Ni sawa, kwani pombe ni haramu, uzizi, uchawi, uongo, wizi, nyamafu, lakini vinafanywa na watu wengi kuliko wasiofanya. Jambo la kuongoza mwanamke halijafikia kuwa haramu, bali katika nchi za kisekula ndio kabisa lipo sawa tu
Nenda Uarabuni ukawaambie Rais awe mwanamke. Watakupopoa mawe. Sehemu nyingine uarabuni mwanamke haruhusiwi hata kuendesha gari ...wewe huifahamu dini... Waache masheikh wenye kuifahamu dini. Haya mambo huyafahamu kajitike kwenye mambo yenu.
 
Bibi Aisha(mke wa Mtume),amepokea hadithi(maelekezo ya dini,nini tufanye waislamu na nini tusifanye)na ndio mpaka leo,tufuata miongozo ya Aisha na ni Mwanamke,hata huyo anayejiita Sheikh,mambo mengi,hata yanahusu mume na mke,tumepokea kutoka kwa Mwanamke huyu,Bi Aisha.Kwa hiyo uislamu,haijakataza uongozi wa mwanamke.
 
Hivi vishehe vinasumbuliwa na kukosa uwezo wa kielimu ,
Wamejifundisha vimaneno viwili vitatu vya kiarabu vya kutupia wakati wa kurikodi hivi viclip vyao basi anavaa kanzu nyeupe na kibaragashia kila siku na kujiita shehe....
Maisha yake yote ya kila siku anayaendesha kwa kupiga mizinga.....
 
Saudi Arabia mwanamke haruhusiwi hata kuendesha gari. Hata akienda sokoni analazimika kujifunika mpaka kuwa kama jini. Sembuse kuongoza nchi au kuongoza chochote kinachoongozeka.
Shehe yupo sahihi.
Kuna mila na dini,Saudia Arabia wanafuata mila,hawafuati dini.Ukiangalia katika kuhiji,wanawake na wanaume wako pamoja,hiyo ndio dini sio mila.Na kuhusu kuendesha gari,mila hiyo yao(sio dini),wameshaiondoa,Mwanamke anaendesha gari,anafanyakazi,anakuwa kiongozi katika kazi,shule,vyuo nk.
 
Ushekh hua ni elimu sio cheo kaka atavuliwa vp na hayo sio maneno yake Bali ni maneno ya Mtume Muhammad anasema mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke
Mtume hajakataza wanawake kuongoza.Leo waislamu tunafuata hadithi(miongozo ya uislamu),kupitia Bi Aisha,na hata huyo Sheikh,kuna mambo ya mume na Mke,anayafundisha na kutafuta kupitia Bi Aisha.Bi Aisha ni Mwanamke sio mwanamme.
 
Kitabu kisicho na shaka sasa hii shaka inatoka wapi maana naona pande mbili kinzani hapa.
Kuna mila na kuna dini,kila taifa na kila kanbila,zina mila zao.Hata katika ukristo,unatofatiana katika mila,kwa mfano mkristo wa Ethiopia,Mwanamke anavyovyaa,hasa wa Orthodox na mkristo wa kizungu Mkatoliki ni tofauti.Ukikutana na mkristo wa Orthodox wa Ethiopia,Mwanamke,utafikiri ni Muislamu,wanavyaa nguo ndefu na kujifunika kichwa,mkristo mkatoliki ,Mwanamke nguo fupi,kichwa wazi.Mapadre wa Orthodox,wako kama waislamu kimavazi na kufunga ndevu.
 
Wanao kinzana nani na nani ? hadithi zipo sahihi zenyew kukataza jambo hili ,hata hivyo enzi ya Mtume Muhammad(Peace and blessing of Allah be upon him) hata Maswahaba zake (Mwenyezi Mungu awe radhi nao) hawakuwahi kumtea mwanamke Ktk nafasi yeyote ile kubwa ya uongozi kama vile gavana kwa wakati huo ilikuwa ni nafasi kubwa Ktk dola ya Uislamu.
Bi Aisha,tunatumia hadithi,(mafunzo aliyopekea),mpaka leo.Hadithi za Bi Aisha tunazitumia,mpaka hadithi zinaxohusiana za mume na mke,mpaka za chumbani,mpaka za kujitoharisha,tunazitumia.Na Bi Aisha ni Mwanamke,hapo hatujagusa wanawake wengine,kama kina Bi Khadija,Hafsa,Asma na wengineo.
 
Back
Top Bottom