Uchawa hautakusaidia... Utabwabwajaa mpaka kifo chako.Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawa hautakusaidia... Utabwabwajaa mpaka kifo chako.Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
P
hata kuvaa nguo huo ni umagharibi .Hiyo Ni umagharibi mkuu...sio uafrika Huo
Mzee hata zinjanthropus walikuwa wanajisitirihata kuvaa nguo huo ni umagharibi .
Sheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke anaeingia hedhi ....Astaghfirullah laanatulillah
kwa hiyo na wewe ni zinjanthropus ?Mzee hata zinjanthropus walikuwa wanajisitiri
Nani kasema?kwa hiyo na wewe ni zinjanthropus ?
ZugaSikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
NakaziaNa kwa mazingira ya Kiafrika, ninaunga mkono hoja.
Mama amefika menopose. Acheni unaaSheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke anaeingia hedhi ....Astaghfirullah laanatulillah
Nenda Uarabuni ukawaambie Rais awe mwanamke. Watakupopoa mawe. Sehemu nyingine uarabuni mwanamke haruhusiwi hata kuendesha gari ...wewe huifahamu dini... Waache masheikh wenye kuifahamu dini. Haya mambo huyafahamu kajitike kwenye mambo yenu.Ni sawa, kwani pombe ni haramu, uzizi, uchawi, uongo, wizi, nyamafu, lakini vinafanywa na watu wengi kuliko wasiofanya. Jambo la kuongoza mwanamke halijafikia kuwa haramu, bali katika nchi za kisekula ndio kabisa lipo sawa tu
Kuna mila na dini,Saudia Arabia wanafuata mila,hawafuati dini.Ukiangalia katika kuhiji,wanawake na wanaume wako pamoja,hiyo ndio dini sio mila.Na kuhusu kuendesha gari,mila hiyo yao(sio dini),wameshaiondoa,Mwanamke anaendesha gari,anafanyakazi,anakuwa kiongozi katika kazi,shule,vyuo nk.Saudi Arabia mwanamke haruhusiwi hata kuendesha gari. Hata akienda sokoni analazimika kujifunika mpaka kuwa kama jini. Sembuse kuongoza nchi au kuongoza chochote kinachoongozeka.
Shehe yupo sahihi.
Pale mtu mzima unapokua na akili kama za paka wa hospitali.Sheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke anaeingia hedhi ....Astaghfirul
Mtume hajakataza wanawake kuongoza.Leo waislamu tunafuata hadithi(miongozo ya uislamu),kupitia Bi Aisha,na hata huyo Sheikh,kuna mambo ya mume na Mke,anayafundisha na kutafuta kupitia Bi Aisha.Bi Aisha ni Mwanamke sio mwanamme.Ushekh hua ni elimu sio cheo kaka atavuliwa vp na hayo sio maneno yake Bali ni maneno ya Mtume Muhammad anasema mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke
Kuna mila na kuna dini,kila taifa na kila kanbila,zina mila zao.Hata katika ukristo,unatofatiana katika mila,kwa mfano mkristo wa Ethiopia,Mwanamke anavyovyaa,hasa wa Orthodox na mkristo wa kizungu Mkatoliki ni tofauti.Ukikutana na mkristo wa Orthodox wa Ethiopia,Mwanamke,utafikiri ni Muislamu,wanavyaa nguo ndefu na kujifunika kichwa,mkristo mkatoliki ,Mwanamke nguo fupi,kichwa wazi.Mapadre wa Orthodox,wako kama waislamu kimavazi na kufunga ndevu.Kitabu kisicho na shaka sasa hii shaka inatoka wapi maana naona pande mbili kinzani hapa.
Bi Aisha,tunatumia hadithi,(mafunzo aliyopekea),mpaka leo.Hadithi za Bi Aisha tunazitumia,mpaka hadithi zinaxohusiana za mume na mke,mpaka za chumbani,mpaka za kujitoharisha,tunazitumia.Na Bi Aisha ni Mwanamke,hapo hatujagusa wanawake wengine,kama kina Bi Khadija,Hafsa,Asma na wengineo.Wanao kinzana nani na nani ? hadithi zipo sahihi zenyew kukataza jambo hili ,hata hivyo enzi ya Mtume Muhammad(Peace and blessing of Allah be upon him) hata Maswahaba zake (Mwenyezi Mungu awe radhi nao) hawakuwahi kumtea mwanamke Ktk nafasi yeyote ile kubwa ya uongozi kama vile gavana kwa wakati huo ilikuwa ni nafasi kubwa Ktk dola ya Uislamu.