Darsa kwa wote :
Mwenendo wa Mtume Muhammad SAW na nasaha zake katika kuwashirikisha wanawake :
Kinyume na inavyoaminika na wengine, Uislamu haujamzuwia mwanamke kuwa kiongozi kwenye jamii kwa mujibu wa mafundisho na mifano mbalimbali ya kidini kama wanavyosema washiriki hawa wa semina kuhusu Mwanamke wa Kiislamu na Uongozi.
Hao walikubali kuwa chini ya Mtume siyo wao kuwa viongozi. Msipotoshe mafundisho ya Uislamu. Bai'a ni kiapo cha utiifu.