Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Hata SSH siyo mtawala wa dunia.Na ndio maana sio mtawala wa dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata SSH siyo mtawala wa dunia.Na ndio maana sio mtawala wa dunia
Hiyo ni tafsiri yakoKwahyo wewe unapinga vitabu vya Dini (biblia Na Quran) kuhusu nafasi ya mwanamke??
Unampinga Mungu?
Kaongea upuuzi ndiyo maana watu wanakujibu wewe na sheikh ubwabwa wakoUmemsikiliza na kumuelewa sheikh?
Hebu rudia tena.
Sheikh aliongea mapema kabisa kabla hata ya Samia kuwa Rais.Huyo shekhe ni Nani katika Nchi ambayo ina mchanganyiko wa dini mbalimbali? Alidhani Tanzania ni Nchi ya Kislamu?!!! Kama mnasheria zenu za kislamu nchi za kwenda mnazijua nendeni Uarabuni. Tanzania Tunaongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania fullstop. Hizo kelele zenu za chura pelekeni mahali sahihi..Mnajifanya mnajua dini mbona watoto wenu wanasoma shule mchanganyiko sio kama Pakistan?? Hii nchi haiongozwi na SHARIA.. waafrika ushamba umetuzidi kwa kupenda tu kubeba mambo ya watu na kujifanya tunajua sana. Dini hizi zimeletwa na wazungu na waarabu lakini kabla ya hapo tulikuwa na mambo yetu mila zetu,tamaduni zetu, dawa zetu, style zetu za maisha ziko wapi??? Tazama wahindi na wachina walivyobakia na mambo yao hata baada ya ukoloni. Hivyo mkitaka hayo fuateni nchi zinazoishi kwa kutumia Sharia hayo mambo msituletee Tanzania.
Sisi tupo Rais wa 6 tu na bahati nzuri ni mwanamke [emoji6][emoji6][emoji6][emoji3][emoji3]Na hawajawahi kua na mwanamke
TakbiriiiiiSheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke....Astaghfirullah laanatulillah
Marekani walivyoona mwanamke anataka kuwa Rais wakapiga kura za hasira!!
sheik ana elimu gani?
Mwaambie afe kwa kuwa tayari Tanzania kuna Rais mwanamke. Yote hiyo roho ya u majnuni na wivu.Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Muslim or christian???Kitabu kipi kinaruhusu mwanamke kuchinja?
Hebu nipe mstari japo wa biblia
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Ningepata anyejua vizuri anieleweshe hiyo ni maoni ya Sheikh au ni kwa mujibu wa Dini na maandiko yake? Ingenisaidia sana.Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Kwa hiyo tunajisifia ujinga ama wats ur point?Hata SSH siyo mtawala wa dunia.
Ni bora kuongozwa na mwanamke kuliko yule muuaji aisee.Labda kwa wenzetu wazungu wanaoongozwa na taasisi ambako Rais hafanyi maamuzi mengi ya mwisho.
Naijua kuwa ni zamani ila leo nikiwa naitafakar na kwa bahati nzuri Uzi bado juu. Sasa kama ni hivo wakuu wa Dini yake wanaogopa kumwambia kwamba si sawa au ndo uoga wa viongozi wa Dini nyingi uliowakumba tangu awamu ya 5Sheikh amenukuu Qur'an...
Na hajaongea leo au jana, hiyo ni clip ya zamani.
It's your opinion. He was a SadistYule "muuaji" was the best.
Unafiki ni mbaya sana mkuu!Naijua kuwa ni zamani ila leo nikiwa naitafakar na kwa bahati nzuri Uzi bado juu. Sasa kama ni hivo wakuu wa Dini yake wanaogopa kumwambia kwamba si sawa au ndo uoga wa viongozi wa Dini nyingi uliowakumba tangu awamu ya 5