Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Vipi kuhusu ujerumani?Wewe ata taifa linaloongoza dunia waliona bora bonzo trump kuliko mwanamke aendeshe nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu ujerumani?Wewe ata taifa linaloongoza dunia waliona bora bonzo trump kuliko mwanamke aendeshe nchi.
Umeulizwa vipi kuhusu Germany umeufyata ghafla!!Wewe ata taifa linaloongoza dunia waliona bora bonzo trump kuliko mwanamke aendeshe nchi.
Mbona nimeshajibu....nimesema ndio maana sio mtawala wa duniaUmeulizwa vipi kuhusu Germany umeufyata ghafla!!
Nataman hata kutowaamini hawa viongozi wa Dini na madhehebu kwasababu wamegeukia Nebukadneza wamebaki wachache tu amina Daniel, Hanania,Michael na Azaria.Unafiki ni mbaya sana mkuu!
Shehe angalia vizuri huko juu kuna mwanaume.Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Ana majini ya kutengeneza tayari, hawezi kuandamwa majini yake yatamsaidia.Sheikh wa watu namuonea huruma atakavyo andamwa
Anayake huyu atupe factsSikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Ile awamu ya Msoga ilikuwa ya laana, nchi iliongozwa na vibaka tu.....ukitoa ushauri unakamatwa na kung'olewa kucha bila ganzi na kama haulii unapelekwa Mwabepande kupotezwa. Ukimchekelea kiongozi bila hata sababu anakualika pamoja na wasanii wa bongo fleva na muvi kwenda kunywa chai na maandazi Ikulu. Yule jamaa alitulostisha sana na cha kushangaza eti sasa kapewa tena nchi na Mama kawa kaimu wake. Mama nchi inamshinda hii.Atajikuta mabwepande huko maana ndiko mahali awamu ile yenye mahusiano na hii walikua wanapeleka watu.
Wanawake katika Qur'an,wamepewa nafasi ya juu kabisa.Kuna chapter mbili,zimepewa majina ya wanawake,Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Mara mia awamu ya msoga kuliko awamu ya wasukuma mikokoteni.Ile awamu ya Msoga ilikuwa ya laana, nchi iliongozwa na vibaka tu.....ukitoa ushauri unakamatwa na kung'olewa kucha bila ganzi na kama haulii unapelekwa Mwabepande kupotezwa. Ukimchekelea kiongozi bila hata sababu anakualika pamoja na wasanii wa bongo fleva na muvi kwenda kunywa chai na maandazi Ikulu. Yule jamaa alitulostisha sana na cha kushangaza eti sasa kapewa tena nchi na Mama kawa kaimu wake. Mama nchi inamshinda hii.
naunga mkono hoja, ni kweli kuna baadhi ya Masheikh ni Masheikh ubwabwa.
Sheikh wa ukweli ni huyu
P
Umeenda nje ya mada. Rudia kuisikiliza na kuielewa hiyo video clip.Wanawake katika Qur'an,wamepewa nafasi ya juu kabisa.Kuna chapter mbili,zimepewa majina ya wanawake,
1:Surat Maryam(mama wa Nabii Issa,na Mwanamke huyu kuitwa Mwanamke bora kuliko Watu wote(wanawake),duniani.
2:Suratil Annisai(Wanawake).Yaani wanawake wote,Wana Chapter yao ndani ya Qur'an,hakuna Chapter ya Rijal(wanaume wote).
Kuwa na sura mbili kwenye Qur'an tukufu haimaanishi kuwa wamepewa nafasi za uongozi wa juu, leta dalili ya kuwa mtume Mohamad (S.A.W) alimpa mwanamke uongozi wa juu dhidi ya wanaume!Wanawake katika Qur'an,wamepewa nafasi ya juu kabisa.Kuna chapter mbili,zimepewa majina ya wanawake,
1:Surat Maryam(mama wa Nabii Issa,na Mwanamke huyu kuitwa Mwanamke bora kuliko Watu wote(wanawake),duniani.
2:Suratil Annisai(Wanawake).Yaani wanawake wote,Wana Chapter yao ndani ya Qur'an,hakuna Chapter ya Rijal(wanaume wote).
Wengi wanakimbilia kutoa maoni yao bila kumsikiliza sheikh.Huyu sasa ndio Sheikh Ubwabwa...hata yule sheikh wa mwanzo uliyemuita sheikh ubwabwa hajapinga wanawake kushirikishwa kwenye kutoa mawazo au hata uongozi, lakini sio uongozi wa juu, hata huyo Mtume ambaye huyu sheikh ubwabwa wako anamtumia kama reference hakuwahi kuruhusu mwanamke kuwa kiongozi wa juu!
Bi Khadija,alimuajiri Mtume Muhammad (S.AW),na akawa ni kiongozi wake katika biashara za huyu Bibi.Na mpaka anapata Utume,alikuwa kwa Bi Khadijah,na mwisho akawa mkewe.Na ndio mtu wa kwanza(Mwanamke)kumuamini kuwa Muhammad(S A W),ni Mtume.Na Mtume mpaka anafariki,alikuwa akimsifia Bi.Khadija.Kuwa na sura mbili kwenye Qur'an tukufu haimaanishi kuwa wamepewa nafasi za uongozi wa juu, leta dalili ya kuwa mtume Mohamad (S.A.W) alimpa mwanamke uongozi wa juu dhidi ya wanaume!
Ushekh unavuliwa na Mufti?acha ushamba ndugu yangu.Uislamu kupitia Quran unasema Wanaume ndio viongozi wa wanawake Sasa Mufti hajui hiyo Aya?Na pia kwa mujibu wa Mtume mkiongozwa na mwanamke mnakuwa mnapata laana ndio maana hakuna immam mwanamke Wala nabii mwanamke kwa Wala khalifa mwanamke kwa mujibu wa uislam.Huyu Sheikh ni male chauvinist, analeta mambo ya male chauvinism ya kuwabagua Wanawake.
Hapa aitwe Sheikh Mkuu, kulifafanua hili na ikibidi huyu Sheikh avuliwe usheikh.
Mafundisho ya kweli ya Uislamu kuhusu mwanamke wa Kiislamu na uongozi ni haya
P