Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
mbona kanisani yanatokea hayo?Muda wa kutongozana wanautoa wapi na wapo ibadani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kanisani yanatokea hayo?Muda wa kutongozana wanautoa wapi na wapo ibadani?
Bawge wewe kwani kajiweka mwenyewe pale! C nilikatiba LENU ndiyo limemuweka?? Kwa hiyo unataka tumtoe ili lile lisimba la muda like lituibie tena? Mpeleka ujinga wako mbele.Na kwa mazingira ya Kiafrika, ninaunga mkono hoja.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo kinachoogopwa ni kutongozana...Yni sasa wewe ushaona wapi + -zikakaa sehemu moja hlf kusitokee la kutokea?
Imani ya kiislamu inamuheshimu kila mtu hasa m.ke ww untka watu wachanganyike watongozane hlf faida yake ni nini?
tunaepusha mambo kama hayo mna shetani huchukua nafasi iyo kma fursa hataki kuipoteza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hiyo kinachoogopwa ni kutongozana...
Upuuzi mtupuSikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Umepigaje hapoMwanamke hawezi kuongoza.
Hata sasa nchi inaongozwa kutokea Msoga.
Ukweli unaonekana Tanzania chini ya Rais Mwanamke ni shida tupu, ni rushwa na ufisadi kwa kwenda mbele. Viongozi ndio wafanya biashara wenyewe hivyo hujifanyia watakavyo kweny ulipaji wa kodi maana hakuna wa kumfunga paka kengele.Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036
Na huyu ni sheikh mkuu wa mkoa wa dar..Sikiliza mwenyewe.
View attachment 2173036