Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Na kwa mazingira ya Kiafrika, ninaunga mkono hoja.
Bawge wewe kwani kajiweka mwenyewe pale! C nilikatiba LENU ndiyo limemuweka?? Kwa hiyo unataka tumtoe ili lile lisimba la muda like lituibie tena? Mpeleka ujinga wako mbele.
Hovyoooo
 
Bawge wewe kwani kajiweka mwenyewe pale! C nilikatiba LENU ndiyo limemuweka?? Kwa hiyo unataka tumtoe ili lile lisimba la muda like lituibie tena? Mpeleka ujinga wako mbele.
Hovyoooo
Pole, inaonekana una stress.
 
Yni sasa wewe ushaona wapi + -zikakaa sehemu moja hlf kusitokee la kutokea?

Imani ya kiislamu inamuheshimu kila mtu hasa m.ke ww untka watu wachanganyike watongozane hlf faida yake ni nini?
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo kinachoogopwa ni kutongozana...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hiyo kinachoogopwa ni kutongozana...
tunaepusha mambo kama hayo mna shetani huchukua nafasi iyo kma fursa hataki kuipoteza
 
Humu nimegundua kuna watu washamba sana, akili ya wapi hii inayoamini mwananume ni superior katika uongozi kuliko mwanamke? mna tofauti gani na wale wabaguzi wanaoamini mtu mweusi ni inferior kwa mzungu
 
03 May 2022

REC: SHUHUDIA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI KATIKA BARAZA LA EID, TAREHE 03 MAY 2022 DAR ES SALAAM

 
Hata Mimi naunga mkono mwanamke asipewe uongozi ngazi ya juu kama Urais , uwaziri wa ulinzi haifai kuwa na waziri mwanamke.
 
03 May 2022

Hutba ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan mbele ya Baraza la Eid 2022

 
10 Juni 2022
Kagera, Tanzania

MUFTI MKUU AONGEA MAZITO MBELE YA RAIS SAMIA



Mufti Mkuu akizungumza mbele ya mgeni rasmi Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wakuu wengine wa kiimani na serikali waliooketi ktk meza kuu, amempongeza kwa kazi nzuri anazofanya mheshimiwa rais.

1654882252639.png
 
10 Juni 2022

RAIS SAMIA AFUNGUA MSIKITI WA JAMI’UL ISTIQAMA BUKOBA, TANZANIA​


1654882313061.png


Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akizindua msikiti mjini Bukoba, Tanzania

Na Silvia Mchuruza. Bukoba,Kagera. Tanzania

Ni katika ziara ya siku tatu mkoani Kagera rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan amefanya ufunguzi rasmi wa msikiti wa jami’ul istiqaama Bukoba mkoani Kagera.


Akizungumza katika uzinduzi huo ulifanyika katika msikiti wa istikama uliopa mkabara na stendi kuu ya mabasi mjini Bukoba mh. Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania amewataka viongozi wa jumuiya ya istiqaama kutumia Kodi za freemu za biasha katika msikiti huo wa istiqaama kukarabatiwa na hata kutumia fedha hizo kukarabatiwa pia mabomba pale yanapo haribika.

Pia amezisisitiza Jumuiya za kimaendeleo kuwa serikali itaendelea kushirikiana na Kila jumiya, asasi zote za kidi kuleta maendeleo ya pamoja hapa nchini na kuwataka watu kuendelea kujiandaa zaidi katika ujio wa zoezi la sensa nchi lengo likiwa Ni kutambuana na kujuana nchi inao watu wangapi au wananchi wangapi.


Aidha nae Shekhe Abubakar Zuber Ally shekhe mkuu wa Tanzania amesema jumuiya ya istiqaam imekuwepo toka enzi za wajerumani lakini jumuiya ambayo imeishi vizuri na wananchi na kutoa huduma ya kijamii katika mkoa wa kagaera.

Pia ameongeza kwa kusema kuwa wale watu wanaodhani kuwa sensa haipo kwenye dini watakuwa wanapotosha watu kwani sensa ipo katika vitabu vyote vya dini na kuwataka mashekhe wowote nchini wahahakikishe wawanazungumzia suala la sensa na kulieleza vizuri.

Shekhe Zuberi amewaonya watu wanaofanya mauaji hovyo hapa nchini kuacha tabia hizo warejee kwenye dini kwani wanailetea jamii matatizo na huzuni jambo ambalo alikubaliki kwa serikali na kwa viongozi wa dini.

” Tuache kufanya mauaji ya ovyo kwani Ni dhambi kujiua au kuua mtu yeyeyote tuludi kwenye dini tujue kuwa mungu yupo kwani kufanya mauaji ya Aina yoyote Ni dhambi na tukumbuke nchi yetu Ni ya amani na utulivu Sasa tusiuvunje utulivu wetu”


Kaimu Balozi wa serikali ya Omani Dr.Salim bin Saif Al Harbi amesema Jumuiya ya istiqaam imejipanga kushirikiana na serikali ya Tanzania kuchimba visima vya maji katika shule mbalimbali hapa nchi pia ameongeza kuwa Jumuiya ya istiqaam imepokea maombi ya ujenzi wa msikiti mkubwa mwingine hapa Tanzania katika jiji la Dodoma.

Pia ameshukuru kwa uongozi wa Jumuiya ya istiqaam Tanzania kwa usimamizi Bora na mzuri kwa kusimamia ujenzi wa msikiti huo.


Mwakilishi wa istiqaama shekhe Seif bin Seif
kutoka Tanzania ameishukuru serikali ya Omani kwa kuwawezesha fedha za kumaliza ujenzi wa msikiti huo uliopo mjini Bukoba mkoani Kagera.

Amesema Ujenzi wa msikiti huo ulianza mwaka 2019 na msikiti ambao ulikuwa wa zamani uliojengwa mwaka 1956 ulikuwa mdogo lakini msikiti wa sasa una jumla ya vyumba vya madrasa 6 vya madrasa hii Ni kwa ajili ya kuwafanya vijana wa kislamu kujifunza zaidi kuhusu mafundisho ya dini ya kislamu na Sasa msikiti huu umetimiza miaka 166.

Pia amesema Jumuiya hiyo Inamiliki shule 14 za chekechea , msingi , na sekondari vituo viwili vya afya hapa nchini na lengo la Jumuiya kwa Sasa Ni kujenga shule kubwa ya secondary katika jiji la dar es salaam kwani ndi po wana jumuiya wengi wa istiqaama walipo.


Amemuomba mh.rais kuipati jumuhiya ya istiqaama eneo kubwa katika jiji la dodoma kwa ajili ya kujenga kituo Cha Islamic senta jijini dodoma kitakacho wasaidia zaidi pia wanaDodoma.

source : RAIS SAMIA AFUNGUA MSIKITI WA JAMI'UL ISTIQAMA BUKOBA - Mzalendo
 
29 Julai 2023

Sheikh Jalala aongoza maandamano ya maombi kukumbuka kifo cha swahaba Hussein na kuliombea taifa



  • Utu umesambaratika
  • Tuuenzi utu
  • Thamani ya mtu bila kujali rangi, dini wala utaifa
  • Kisiwa cha amani kiwepo duniani
  • Kujitolea kuwatumikia watu wote wakristo, mayahudi, waislamu wanaodhulumiwa
  • Wanawake wanaweza mfano mwanamke bibi Zaynab aliyekuwepo Karbala aliyeongoza mapinduzi
 
Back
Top Bottom