Ulitakiwa uvizodoe vile vyombo vya habari vilivyopaza sauti zao kuhusu mahubiri ya chuki na utengano, yaliyo hubiriwa na hao Masheikh kipindi kile kiasi cha wao kukamata kwa tuhuma za ugaidi kipindi Marais wa pande zote mbili za Muungano wakiwa ni Waislam!unaushahidi wewe na jamaa zako ? hilo kuhamasisha mnalifahamu nyinyi tu mnaoleta dada zenu mbele ya mikutano wakikata viuno ndio mnaojenga muungano.
Mbona hilo liko wazi! Mauaji yametamalaki zaidi kwenye Nchi za Kiislam mfano Syria, Iraqi, Somalia, Kaskazini mwa Nigeria, Mali, Yemen, Libya, Afghanstan, nk!Acha hizo ww,co unaongea kwa hisia ktk nchi zilizofanya na znazofanya mauaji makubwa dunian ni zp kat ya za kiislamu na upande mwingne?????
Mbona hilo liko wazi! Mauaji yametamalaki zaidi kwenye Nchi za Kiislam mfano Syria, Iraqi, Somalia, Kaskazini mwa Nigeria, Mali, Yemen, Libya, Afghanstan, nk!
Na chanzo kikuu ni vile vikundi vyenu vyenye imani kali ya dini yenu kama Al Shaabab, Al Qaeda, Taliban, Boko Haram, ISIS, nk.
Sasa kama wao siyo wahusika, si inatakiwa Serikali ya Mapinduzi ijitokeze hadharani kutuambia yale matukio ya uvunjifu wa amani kipindi kile cha hilo vuguvugu la Uamsho, yalifanywa na akina nani?Hiv haya mauaji umethibitisha kuwa wao ndio wahusika?????
Hizo Nchi mbona hata nyinyi ni marafiki zenu! Ni juzi tu hapa Rais wenu wa Zanzibar alikutana na Balozi wa Ujerumani kuzungumzia mambo mbalimbali ya kimaendeleo!Tuambie nan anaifluence hayo mauaji kama co hizo nchi za magharibi ambazo mnaziabudia
Kila anaeshukiwa na kumatwa siku ya kutoka akilipwa fidia basi tutatengeneza fedha nyingi kwenye mchezo huu.Walipwe fidia.
Wameonewa sana hawa jamaa.
Ila kwa hii Serikali ya huyu Mama, lolote linaweza kutokea! Hawa Masheikh wanaweza kuogelea kwenye dimbwi la utajiri kwa kigezo cha hiyo fidia kana kwamba ndiyo viumbe pekee waliopitia hiyo changamoto!Kila anaeshukiwa na kumatwa siku ya kutoka akilipwa fidia basi tutatengeneza fedha nyingi kwenye mchezo huu.
Kwenye uislam ndoa hazinaga issue wala stress.Mke wa 1,2,3...
Sheikh atawakuta kweli???
Bora alivoamua aende kwao kwanza...
Kama unao Ushahidi wa chuma kanisa lako peleka ushahidi Mahakamani kesi inaweza kuanza upya ,sio unachuma kanisa na watu wako kisha unasema ni waislamuBi Mkubwa, mimi sina tatizo kwa mtu/watu kudai haki yake/zao. Hata mimi ni mpenda haki. Mimi ninapinga matumizi ya kutumia mahubiri ya dini kuhamasisha uvunjifu wa amani, mauaji, kumwagia watu wasio na hatia tindikali! nk.
Kama tatizo ni Muungano, si mjitenge tu? Kuna sababu gani ya kuwwmwagia Mapadre wetu tindikali! Au kuchoma nyumba za ibada? Kwa nini hamtuigi sisi Wakristu? Siku zote tunaishi kindugu!
By the way, mimi ni Mkristo, ninayesali kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Wewe umekuwa Mungu wa kuamua nani aishi na nani asiishi katika dunia hii?Hawamagaidi hawatakiwi kuishi ni hatari kwa taifa
Hivi kwani walishitakiwa kwa kumwagia wakristu tindikali au kuchoma moto nyumba za ibada? Mbona serikali imeshindwa kutoa ushahidi baada ya miaka yote hiyo hata kwa yale ambayo wamewashitaki?Ni haki yenu kuukataa Muungano! Lakini tatizo linakuja pale mnapotumia njia zisizofaa! Kuua raia wasio na hatia, kuwamwagia Wakristu tindikali au kuchoma nyumba zao za ibada, kwa mgongo wa kuukataa Muungano, ni jambo lisilo kubalika kwa wapenda amani.
Kwa nini uwe influenced? Kwa nini uwe na akili za kushikiwa? Ina maana waisilamu hawana upeo hadi waamuliwe na wenye akili zao?Tuambie nan anaifluence hayo mauaji kama co hizo nchi za magharibi ambazo mnaziabudia
Kwa nini uwe influenced? Kwa nini uwe na akili za kushikiwa? Ina maana waisilamu hawana upeo hadi waamuliwe na wenye akili zao?
Kwani Jiwe ndo aliwatia gerezani?MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.
Mungu ibariki Tanzania
Wewe kuitwa kafiri ni umependelewa . WEWE NI ZAIDI YA KAFIRI KWA HIZO CHUKI ZAKO DHIDI YA UISLAMU NA WAISLAMU:wakianza kulipua makanisa msije tena kulialia kwamba mlifanya makosa kuwatoa
Ndivyo unavyotakiwa uelewe hivyo na hao waliokupa hizo habariMbona hilo liko wazi! Mauaji yametamalaki zaidi kwenye Nchi za Kiislam mfano Syria, Iraqi, Somalia, Kaskazini mwa Nigeria, Mali, Yemen, Libya, Afghanstan, nk!
Na chanzo kikuu ni vile vikundi vyenu vyenye imani kali ya dini yenu kama Al Shaabab, Al Qaeda, Taliban, Boko Haram, ISIS, nk.
Ujinga upi , wa kutafuna pilipili kichaa ??Nendeni tena mkafanye ule 'ujinga' wenu muone yatayowapata!
Kwanini? Yaani ufungwe miaka 9 bila sababu uachwe kienyeji tu usidai fidia?Wawe wapole tu mzee, wasije wakaanzisha mengine ikawa balaa kwao
Sijaamua nimesemaWewe umekuwa Mungu wa kuamua nani aishi na nani asiishi katika dunia hii?
Astaghfirullah