TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

Hii ni Taazia, kama inakuchosha ni lazima uisome? Au nafsi inakusuta?

Ni wazi afsi inakusuta, kwani nafsi yako inautaka ukweli na wewe unataka kuukwepa ukweli. Nafsi yako ikiona kalamu ya Alama Mohamed Said vidole vyako vinaufungua uzi bila wewe kupenda.

Mpo wengi kama wewe, si wewe wa kwanza wala wa pekee, tumewazowea.
Mumewazoea wewe na nani?
 
Maalim Faiza,
Hakika tumewazoea sote sisi wa kizazi kile cha wakati wa kupigania uhuru.

Tulikuwa wadogo lakini tuliwaona waliokuwa mstari wa mbele.

Nyumba yenu ilikuwa jirani sana na ofisi ya TANU.

Umeshuhudia na kusikia mengi.
Tunaujua ukweli.

Wenzetu wakazoea kuamini historia ya kupachikwa.

Sisi tukazoea kuwaona wenzetu wamezoea kuamini uongo.

Tumezoea hapa kutukanwa si kwa lolote ila kwa kuisomesha historia ya kweli ili kuiondoa ile yao waliyoizoea.

Sisi sasa tumezoea kuwaeleza kuwa hiyo historia waliyoizoea haikuwa historia ya kweli.

Kwa hiyo sasa wana wajibu wa kuzoea kusoma historia sahihi.
 
Nimekuuliza wewe na nani?
Mna...
Jibu umepewa angalia JF inatembelewa na watu wangapi na raha yake huwa inaongezeka kila muda unavyosogea.

Ubishi unatoa ladha.
Labda nikutahadharishe.

Maalim Faiza Allah kamjaalia ni wale "above average."

Usidhani unazungumza na mtu wa kawaida.
 
Historia sahihi uhuru wa kweli wa tanganyika uliletwa na masheikh ila mla nguruwe mwalimu nyerere katuletea uhuru feki
 
Unaanzaje kusema Umeleta Uhuru huku bado umekumbatia upumbavu wa muarabu na ule mzungu?

Ni Uhuru gani huo mnaodai wa kugombania Who is your best slave master?

MMELAANIWA HAKIKA!
 
Tutajie basi japo wazee wa kwenu makambako ambao wameipigania uhuru wa nchi kama wapo,

Dharau dharau zenu hizi ndizo zilizopelekea hadi watu kukaa chini na kuweka hizi kumbu kumbu sawa,

Maana chuki zenu nyinyi hazina kifani
Tangu lini wazee wa pwani wakawa na uwezo wa kuleta uhuru wa hii nchi.??ni punguani tu atakaye kaa kusikiliza historia feki za huyo mzee mdini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tutajie basi japo wazee wa kwenu makambako ambao wameipigania uhuru wa nchi kama wapo,

Dharau dharau zenu hizi ndizo zilizopelekea hadi watu kukaa chini na kuweka hizi kumbu kumbu sawa,

Maana chuki zenu nyinyi hazina kifani
Chuki kama ya msikiti wa sokoni mtwara ijumaa nyingi lazima watajwe wakristo?
 
Tutajie basi japo wazee wa kwenu makambako ambao wameipigania uhuru wa nchi kama wapo,

Dharau dharau zenu hizi ndizo zilizopelekea hadi watu kukaa chini na kuweka hizi kumbu kumbu sawa,

Maana chuki zenu nyinyi hazina kifani

Kumbu kumbu zipi sawa,wewe unadhani kunakumbukumbu sawa hapo?
 
TANU KAMA TANU!!!

TANU=CHAMA CHA WAISLAM WADAI UHURU!

CCM=!!!?

Kwanini walibadili TANU iwe CCM !!

Eti ASP zikaungana na TANU zikawa CCM!

Tulipigwa na kitu kizito mahali!
 
Hii ni Taazia, kama inakuchosha ni lazima uisome? Au nafsi inakusuta?

Ni wazi afsi inakusuta, kwani nafsi yako inautaka ukweli na wewe unataka kuukwepa ukweli. Nafsi yako ikiona kalamu ya Alama Mohamed Said vidole vyako vinaufungua uzi bila wewe kupenda.

Mpo wengi kama wewe, si wewe wa kwanza wala wa pekee, tumewazowea.
Kula nguruwe upate akili wewe. Mnakaaa na kubwabwaja kwy vibaraza vya msikitini, hamna shughuli za kufanya
 
Vibaraza vya msikiti kwetu ndiyo sehemu pekee zenye thaman na heshima katika maisha yetu,kama kula nguruwe ndiyo kupata akili basi msingekuwa mnafungishwa ndoa za wase.nge huko kwenye vigango vyenu
 
Mna...
Jibu umepewa angalia JF inatembelewa na watu wangapi na raha yake huwa inaongezeka kila muda unavyosogea.

Ubishi unatoa ladha.
Labda nikutahadharishe.

Maalim Faiza Allah kamjaalia ni wale "above average."

Usidhani unazungumza na mtu wa kawaida.
Faiza ni mtu wa hovyo sana mwenye matusi ya nguoni
 
Maalim Faiza,
Hakika tumewazoea sote sisi wa kizazi kile cha wakati wa kupigania uhuru.

Tulikuwa wadogo lakini tuliwaona waliokuwa mstari wa mbele.

Nyumba yenu ilikuwa jirani sana na ofisi ya TANU.

Umeshuhudia na kusikia mengi.
Tunaujua ukweli.

Wenzetu wakazoea kuamini historia ya kupachikwa.

Sisi tukazoea kuwaona wenzetu wamezoea kuamini uongo.

Tumezoea hapa kutukanwa si kwa lolote ila kwa kuisomesha historia ya kweli ili kuiondoa ile yao waliyoizoea.

Sisi sasa tumezoea kuwaeleza kuwa hiyo historia waliyoizoea haikuwa historia ya kweli.

Kwa hiyo sasa wana wajibu wa kuzoea kusoma historia sahihi.
Mzee wangu kumbe mwafahamiana na bi faiza?
 
Back
Top Bottom