Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumewazoea wewe na nani?Hii ni Taazia, kama inakuchosha ni lazima uisome? Au nafsi inakusuta?
Ni wazi afsi inakusuta, kwani nafsi yako inautaka ukweli na wewe unataka kuukwepa ukweli. Nafsi yako ikiona kalamu ya Alama Mohamed Said vidole vyako vinaufungua uzi bila wewe kupenda.
Mpo wengi kama wewe, si wewe wa kwanza wala wa pekee, tumewazowea.
Soma JF inatembelewa na watu wangapi kwa siku.Mumewazoea wewe na nani?
Maalim Faiza,Hii ni Taazia, kama inakuchosha ni lazima uisome? Au nafsi inakusuta?
Ni wazi afsi inakusuta, kwani nafsi yako inautaka ukweli na wewe unataka kuukwepa ukweli. Nafsi yako ikiona kalamu ya Alama Mohamed Said vidole vyako vinaufungua uzi bila wewe kupenda.
Mpo wengi kama wewe, si wewe wa kwanza wala wa pekee, tumewazowea.
Nimekuuliza wewe na nani?Soma JF inatembelewa na watu wangapi kwa siku.
Mna...Nimekuuliza wewe na nani?
Historia sahihi uhuru wa kweli wa tanganyika uliletwa na masheikh ila mla nguruwe mwalimu nyerere katuletea uhuru fekiMaalim Faiza,
Hakika tumewazoea sote sisi wa kizazi kile cha wakati wa kupigania uhuru.
Tulikuwa wadogo lakini tuliwaona waliokuwa mstari wa mbele.
Nyumba yenu ilikuwa jirani sana na ofisi ya TANU.
Umeshuhudia na kusikia mengi.
Tunaujua ukweli.
Wenzetu wakazoea kuamini historia ya kupachikwa.
Sisi tukazoea kuwaona wenzetu wamezoea kuamini uongo.
Tumezoea hapa kutukanwa si kwa lolote ila kwa kuisomesha historia ya kweli ili kuiondoa ile yao waliyoizoea.
Sisi sasa tumezoea kuwaeleza kuwa hiyo historia waliyoizoea haikuwa historia ya kweli.
Kwa hiyo sasa wana wajibu wa kuzoea kusoma historia sahihi.
Tangu lini wazee wa pwani wakawa na uwezo wa kuleta uhuru wa hii nchi.??ni punguani tu atakaye kaa kusikiliza historia feki za huyo mzee mdini.
#MaendeleoHayanaChama
Chuki kama ya msikiti wa sokoni mtwara ijumaa nyingi lazima watajwe wakristo?Tutajie basi japo wazee wa kwenu makambako ambao wameipigania uhuru wa nchi kama wapo,
Dharau dharau zenu hizi ndizo zilizopelekea hadi watu kukaa chini na kuweka hizi kumbu kumbu sawa,
Maana chuki zenu nyinyi hazina kifani
Historia sahihi uhuru wa kweli wa tanganyika uliletwa na masheikh ila mla nguruwe mwalimu nyerere katuletea uhuru feki
Tutajie basi japo wazee wa kwenu makambako ambao wameipigania uhuru wa nchi kama wapo,
Dharau dharau zenu hizi ndizo zilizopelekea hadi watu kukaa chini na kuweka hizi kumbu kumbu sawa,
Maana chuki zenu nyinyi hazina kifani
Kama mna historia ya wazee wenu si muiandike??tatizo ni ninKumbu kumbu zipi sawa,wewe unadhani kunakumbukumbu sawa hapo?
Kula nguruwe upate akili wewe. Mnakaaa na kubwabwaja kwy vibaraza vya msikitini, hamna shughuli za kufanyaHii ni Taazia, kama inakuchosha ni lazima uisome? Au nafsi inakusuta?
Ni wazi afsi inakusuta, kwani nafsi yako inautaka ukweli na wewe unataka kuukwepa ukweli. Nafsi yako ikiona kalamu ya Alama Mohamed Said vidole vyako vinaufungua uzi bila wewe kupenda.
Mpo wengi kama wewe, si wewe wa kwanza wala wa pekee, tumewazowea.
Vibaraza vya msikiti kwetu ndiyo sehemu pekee zenye thaman na heshima katika maisha yetu,kama kula nguruwe ndiyo kupata akili basi msingekuwa mnafungishwa ndoa za wase.nge huko kwenye vigango vyenuKula nguruwe upate akili wewe. Mnakaaa na kubwabwaja kwy vibaraza vya msikitini, hamna shughuli za kufanya
Faiza ni mtu wa hovyo sana mwenye matusi ya nguoniMna...
Jibu umepewa angalia JF inatembelewa na watu wangapi na raha yake huwa inaongezeka kila muda unavyosogea.
Ubishi unatoa ladha.
Labda nikutahadharishe.
Maalim Faiza Allah kamjaalia ni wale "above average."
Usidhani unazungumza na mtu wa kawaida.
Mzee wangu kumbe mwafahamiana na bi faiza?Maalim Faiza,