Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

tuwekee hiyo video anayosema hivyo, Hivi pale mwembechai yule kiongozi wa kanisa alikuwa akiwaambia nini polisi
Huyo alikua gaidi muuaji aliefurahia kuona damu za watu wasiokua na hatia zinamwagika.
 
Huyo alikua gaidi muuaji aliefurahia kuona damu za watu wasiokua na hatia zinamwagika.

Ndiyo umeweka hiyo video ?? Na yule padri aliyewaamrisha polisi kuuwa watu kule Mwembechai alikuwa nani? shoga ?
 
Ndiyo umeweka hiyo video ?? Na yule padri aliyewaamrisha polisi kuuwa watu kule Mwembechai alikuwa nani? shoga ?
Weka ushahidi sio porojo. Wakristo hatuna huo upuuzi wa kuua mtu kisa dini.
 
Weka ushahidi sio porojo. Wakristo hatuna huo upuuzi wa kuua mtu kisa dini.
Ndiyo umeweka hiyo video ?? Na yule padri aliyewaamrisha polisi kuuwa watu kule Mwembechai alikuwa nani? shoga ?
 
Mbona kama unatisha watanzania wenzio,una mpango wa kukiwasha?
 
Uliwahi kuona mkristu anahamasisha wakristu wenzie kuchangishana na kununua silaha ili kukiwasha?Mnahamasiahana kwa kupiga mazoeI ya kivita misikitini mkikamatwa mnalalamika.Mm nimezaliwa na nina ndugu wengi waislam tunashirikiana kwenye shughuli zote za kijamii kuanzia za furaha hadi za huzuni.Acha kuhamasisha chuki kwa kuwa tu hujafikia malengo yako.Shida yenu mnataka dini yenu iwe na nguvu kisiasa mpate vyeo.
 
YouTube ndio ushahidii umeleta Huo😝😝😝😝😝
Yesss

Zipo video za kutosha YouTube…. Kama hata hilo huelewi then pole

Yule jamaa was divisive na Mungu alitenda mema
 
Yesss

Zipo video za kutosha YouTube…. Kama hata hilo huelewi then pole

Yule jamaa was divisive na Mungu alitenda mema

ndiyo clip ya youtube umeleta hiyo ?? πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Sio waislam wote ni magaidi nakubaliana na wewe ila sasa karibu makundi yote ya ugaidi na ukatili yanafungamana na uislam.
Alqaeda, alshabaab, bokoharam, Hamas, Hezbollah, Houth, Islamic Jihad, ADF, abu sahaf, isis nk
Umeona ulivyo na akili kuambiwa!
Kila anachosema kafiri mzungu we una copy na ku paste km mmefunga ndoa pamoja.
Hamas imechaguliwa kwa KURA na wananchi wa Gazza
Hezbollah na Houthi ni vyombo vinavyokubaliwa na wananchi wake.
Hata Nelson Mandela aliitwa Gaidi na Wazungu Wote.
Baada ya kuwashinda Wazungu akawa Hero
Acheni kutetea upumbavu.

Wewe na mimi mbele ya mzungu ni km paka tu hata km wewe utaabudu hio sanamu la kizungu we bado ni slave tu na mzungu abadan hakuthamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…