Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Huyo alikua gaidi muuaji aliefurahia kuona damu za watu wasiokua na hatia zinamwagika.tuwekee hiyo video anayosema hivyo, Hivi pale mwembechai yule kiongozi wa kanisa alikuwa akiwaambia nini polisi