Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

TAYADI nabashiri namna ulivyo pindua maumbile alokuumba kwa makusidi kwayo Mwenyezi Mungu.
Weye watumia makalio kufikiri na kichwa kwa kuketi, sasa ndo maana sipati ghadhabu juu ya kukutanabahisha kunako majambo....!
Nafahamu wachelewa sana kufahamu namna inavyotakikanika kufahamika.
Huu ni mfululizo wa visa vipatavyo vinne vya kikatili ambavyo vimefanyika Zanzibar, vikiwalenga watu maalumu katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.
Desemba mwaka jana, watu ambao bado hawajafahamika wamlipiga risasi Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar na kumjeruhi vibaya.
Februari mwaka huu aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki katika eneo la Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
Hawa wote ni wanyama?
 
Haya unayashabikia?

Shida ni SIASA zime/zili/zinashikwa na Kanisa, lakini kanisa likajitia kuwa halipo, sasa wacha kama kuna watu wapendao amani/ haki wapige mkia ili wajue kichwa kipo wapi.

Au pia pana tatizo tena katika tafsiri hiyo..!?

Hatutaki kuona mkimnyanyasa mtoto 'YATIMA" kwa mali mlizokabidhiwa mumlindie na WAZAZI wake.

Haki twatakaiona ikitendeka na si makaratasini tu la ..!
 
Hivi mafunzo ya ILUNGA kuhusu kuua mapadre, walei, maaskofu na wakristo badala ya kufundisha wafuasi wake namna ya kumcha mola siyo yaliyopelekea watu hawa kuteswa na kuuawa?
 
inna lilahi wa innailyh ra'juun Allah ampe janatul firdaus in shaa Allah, Ilunga rahimallahu alikuwa an icon of the tanzanian's muslims, shujaa, jemedari, jasiri name it all, alikuwa homa ya wagalatia yaani tishio kwao alisema ukweli bila woga, aliwafungua waislam wengi macho na kuwabainishia mfumo kristo unaotawala, uchafu kwenye baraza la mitihani na dhulma nyingi wanazofanyiwa waislam. Ameondoka lakini ametuachia hazina kubwa ya darsa zake.

Hamia Pakistani, Afghanistani/Somalia au nchi yeyote yenye at least 75% waislamu wewe "muislamu" mfuasi wa Ilunga!
Ajabu ni kuwa "waislamu" (iwe asili yao ni nchi za "kikafiri" au za "kiislamu" wanahamia nchi za "kikafiri" badala ya kuhamia nchi zinazojulikana kuwa ni za kiislamu!
 
Mie sichekelei bali nakusikitikia weye usotaka kuzifahamu KOMEDI za Kanisani namna zinavyoandaliwa.Ntakureje tena ...
Shehe ILUNGA anapowaagizeni nyie kuua mapadre, kadinali, walei, maaskofu na wakristo kwa nini hawaagizi muue na waislamu wenzenu?
 
Hamia Pakistani, Afghanistani/Somalia au nchi yeyote yenye at least 75% waislamu wewe "muislamu" mfuasi wa Ilunga!
Ajabu ni kuwa "waislamu" (iwe asili yao ni nchi za "kikafiri" au za "kiislamu" wanahamia nchi za "kikafiri" badala ya kuhamia nchi zinazojulikana kuwa ni za kiislamu!

Debe tupu ....!

Wamekukurupua mawindo yepi tena weye mla nguruwe...?!
 
Ua padre!..
Ua Walei!
Ua Kadinali!
Ua Askofu!
Takbiiir
Hivi haya mafundisho ILUNGA aliyapata wapi? Ni kwa ALLAH ambaye mnatutaka sisi tumuamini?

Zile sanaa zetu za Kanisani mfano kule Olasiti taarifa ziliisha vipi baada ya kukamatwa wale Waislaamu ....!?
 
Debe tupu ....!

Wamekukurupua mawindo yepi tena weye mla nguruwe...?!
Waislamu wenye siasa kali wamechoma kanisa mbagala!.. Na Lingine Zanzibar,... Na lingine Tanga?!!!.....

Hivi ni Mungu yupi mnayemuabudu? Anayewaagiza kufanya haya na kushangilia?
 
Waislamu wenye siasa kali wamechoma kanisa mbagala!.. Na Lingine Zanzibar,... Na lingine Tanga?!!!.....

Hivi ni Mungu yupi mnayemuabudu? Anayewaagiza kufanya haya na kushangilia?

Mambo ya Pengo on System utayaweza weye ...?!
 
Zile sanaa zetu za Kanisani mfano kule Olasiti taarifa ziliisha vipi baada ya kukamatwa wale Waislaamu ....!?
Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
Hivi waliotenda haya wanamwabudu nani?
 
umenikumbusha nilihudhuria hadhara moja aliofanya Ilunga alisema kafir yeyote haelewi mpaka apewe kipigo na akawafananisha na ng'ombe au mifugo wengine mchungaji akiwaambia wasiingie kwenye mashamba ya watu hawaelewi ila lugha yao ni kiboko hivyo huna tofauti na hawayani

Back
Top Bottom