Kwa hiyo kila mwanamke anaye olewa huwa anataka mahari ya msahafu?
Case closed!!Habari njema lakini michango ya baadhi ya wadau ndio imenidhangaza kidogo.
Mleta mada amewasilisha vema kabisa kwa kusema hii ni fursa kwa vijana wenye mpango wa kuoa mwaka huu, hivyo ni kama booster kwao.
Halafu anakuja mtu analeta hoja ooh si wangewafundisha ujasiriamali, au ooh wataweza kweli kuhudumia hao wanawake.
Sasa aliekwambia kuwa vijana watakao lipiwa hizo mahali ni wale wasiokuwa na uwezo wa kuhudumia nani?
Halafu ajabu iko wapi kama mtu anauwezo wa kuoa lakini akatokea mtu akamplipia mahari, si atakuwa amempunguzia gharama.
Sasa ubaya uko wapi!?
kopites 25000q TAI DUME
Biblia siinasema usilize kisasi au hausomagi biblia?Mnadhani mnavyotuita makafir twafurahia?
Mtu anayelipiwa mahari hapaswi kuoa, hana uwezo wa kuendesha ndoaShekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.
Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu
Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah [emoji120]
Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
Hawaelewi, hawa watu ni wajinga na hapo wamefurahi sanaMtu anayelipiwa mahari hapaswi kuoa, hana uwezo wa kuendesha ndoa
Mahari sio kitu cha kusaidiwa hata na Wazazi
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Sijalipiza mi nimesema ukweliBiblia siinasema usilize kisasi au hausomagi biblia?
Tazito watz tuna ujuaji mwingi hivi mfano kijana anaingiza kipato cha 10,000 kwa siku akahitaji kuoa akatajiwa mahari ya 500,000Mfano akitokea mtu anahitaji kumlipia mahari kuna ubaya?Sasa mwanamke anayehitaji mahari inayomshinda mchumba wake huyu anawekwa kundi gani la kiislam??
Au alhikma inakwenda kutoa na mshahara kila mwezi kwa ajili ya wanandoa hao???
Hiyo pesa ya kuhonga wanawake na kufanya hizo ngono wanaipata wapi? Acha mawazo mgando ujinga kichwani.Ndoa na iheshimiwe na kila mtu,wewe unajifanya unajua sana kumbe umeumbwa kutoka kwenye maji machafu yanayoitwa manii.Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?
Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Sasa iweje washindwe mahari hadi watolewe?Hiyo pesa ya kuhonga wanawake na kufanya hizo ngono wanaipata wapi? Acha mawazo mgando ujinga kichwani.Ndoa na iheshimiwe na kila mtu,wewe unajifanya unajua sana kumbe umeumbwa kutoka kwenye maji machafu yanayoitwa manii.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Tazito watz tuna ujuaji mwingi hivi mfano kijana anaingiza kipato cha 10,000 kwa siku akahitaji kuoa akatajiwa mahari ya 500,000Mfano akitokea mtu anahitaji kumlipia mahari kuna ubaya?
Ana chuki sana anatamani Uislamu ufutike kwenye uso wa dunia.. hata kama anachukia jambo bora akae kimya ni kheir zaidi.. comments zake nyingi kuhusu Uislamu ni za chuki na karaha.. Tumuombe ALLAAH amuonyeshe haki aweze kuifuataChuki chuki chuki hazikunenepeshiii
Kupata elfu tano mpaka kumi kwa siku na watu wakala ndani inawezekana lakini kukusanya hiyo laki tano mpaka milioni in a shi dikana mzeeSasa iweje washindwe mahari hadi watolewe?
Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.
Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu
Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah 🙏
Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anzawengine
Kumbe na nyinyi mwaoa kwa gharama?Kupata elfu tano mpaka kumi kwa siku na watu wakala ndani inawezekana lakini kukusanya hiyo laki tano mpaka milioni in a shi dikana mzee
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo umesema ukweli kuwa waislam wanapenda ngono kwahiyo ww hufanyagi ngono ili tujue kweli ww huwazagi ngono?Sijalipiza mi nimesema ukweli
Dini imempa binti haki ya kutaja kiasi chochote cha mahari anayo taka hata kama atataka billion kumi sasa chaguo litakuwa kwako muoaji ukiweza toa kama huwezi kula kona.Rejea swali la awali??laki 5 kaitaja binti au wajomba??
Yote kwa yote isijeonekana tunawaonea wivu hao waolewaji,kila la kheri ktk ndoa hiyo ya pamoja.