Sheikh Mawinda: Kazi ya Rais Samia ni kubwa, jukumu letu ni kumuombea, sio kumzodoa na kumpinga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"

"Urais kazi ndugu zangu, ukitaka kujua Urais kazi chukua fomu, mwezi wa kumi ukaombe Urais tuone"

Kwani analazimishwa awe Rais? Kama ni kazi ngumu kihivyo si aache., mtu anatumia kila aina ya njia ili awe Rais pamoja na kuhonga.
Mtu gani anaweza kutumia nguvu kubwa kiasi hicho ili afanye kazi ngumu ?
Haya maislamu mengine ni majingamajinga sana
 
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"

"Urais kazi ndugu zangu, ukitaka kujua Urais kazi chukua fomu, mwezi wa kumi ukaombe Urais tuone"

Hafaham kazi ya uraisi ji nini, akasome katiba upya
Na oia anaangalie nchi zingine za ki democrasia zinafanyaje kazi
 
Apeleke ujinga wake huko huyo sheakh ubwabwa, anapingwa Yesu na Mtume Mohamad itakuwa sa100?!
Tena na hv ana akili za kawaida makosa anayo kibaoo nayostahili kumkosoa!
 
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"

"Urais kazi ndugu zangu, ukitaka kujua Urais kazi chukua fomu, mwezi wa kumi ukaombe Urais tuone"

Hatuna muda wa kupoteza kumuombea mtu ambaye anajiita Chura Kiziwi. Hataki kusikia Watanzania wanataka nini. Amekuwa mungumtu!
 
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"

"Urais kazi ndugu zangu, ukitaka kujua Urais kazi chukua fomu, mwezi wa kumi ukaombe Urais tuone"

Mashekhe ubwa wawe wanaandikiwa cha kuongea mbele ya hadhira
 
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vitamin

Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"

"Urais kazi ndugu zangu, ukitaka kujua Urais kazi chukua fomu, mwezi wa kumi ukaombe Urais tuone"

HUYU nae ni she ubwabwa tuuh
SI Bora hata mwenzake mkuu wa mkoa amechekesha watu na kupita kushoto FALa tuuh huyu
NRNE
 
Komenti zinaonesha watu wana hasira sana.Tufumbe macho tuombe dua njema, inshaallah!🫸. 🧐. 🫷
 
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"

"Urais kazi ndugu zangu, ukitaka kujua Urais kazi chukua fomu, mwezi wa kumi ukaombe Urais tuone"

Akitoka hapo ana bahasha ya khaki kama walivyo pewa wasanii Mwanza.
 
Mimi hata sielewi, hivi mwadamu akiwa rais , anapata nguvu za kimungu au anaendelea kuwa mwanadamu?
Hivi kati ya serika na rais who is superiour kwa mamlaka, mimi niko overse kabisa, lkn yote hii ni UNAFIKILISM kutamalaki mbele ya watesi na hawakemei
 
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"

"Urais kazi ndugu zangu, ukitaka kujua Urais kazi chukua fomu, mwezi wa kumi ukaombe Urais tuone"

Binafsi siwezi kumuombea.
 
Masheikh wanawashwa minduku safari hii utadhani ndio wasemqji wa serikali
 
Back
Top Bottom