Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Ifikie mahali waisram wasomi wakemee matamko ya mashehe wa elimu ahera yanayodhalilisha dhehebu yao. Mtu aseme kama yeye bila cheo husika.Mashehe wengi wana njaa sana hapa nchini wengi wavivu kazi hawataki kazi kuvaa magauni na kuunga mkono mambo ya kipumbavu.
Kuna hoja mtu anatoa hadi najiuliza tena kuhusu udumavu wa elimu dunia.
Mf. 1.Kusema lisu alipigwa risasi mama akamtembelea.
2. Kuruhusu mikutano ya hadhara.
3. Kufuta kesi.
swali ni je nsni huleta hayo madhira?
Je, mtu akikufanyia tendo jema ndo tiketi ya kukufanyia ushenzi?
Je, hoja ni binafsi au kwa maslahi ya kizaz leo na kesho?