Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

Mazinge na mwaipopo ni wadini wanajulikana wanatetea nini? Wanatetea undugu katika dini yao, hakuna zaidi ya hapo
 
Mhuni tu huyo kama wahuni wengine.
Anataka naye aonekane huenda akapata cha kuweka tumboni.
Nothing special.
 
Yani unamtengenezea mtu tatizo...then u
nakuja kwa mlango mwingine unamsaidia kutatua...then unataka akishukuru...daaaaa....this is only in Afeica
 
Hebu niwekee clip ya mazinge tuone kama aliwahi kushindwa
 
Mtoa mada na hao masheikh wako unaowaleta kila siku humu, mnaiaibisha dini namna hii. Hamuoni aibu kutetea ujinga huku mkihusisha dini? Yanayosemwa kuhusu Samia na serikali yake, yanaipendeza dini yake? Waislam tunaonekanaje hivi? Hakuna hoja zozote zaidi ya kuangalia dini ya mtu kweli? Embu acheni bwana.
 
Kwakweli niwe mkweli nashindwa namna nzuri ya kumkosoa mama japokuwa hatujafika nchi ya ahadi ila kuna ahueni kubwa sana hata hii mikutano mingi ya kisiasa ni sehemu ya ahueni. Wanaokosoa wanazungumzia kuhusu banda, lakini niliposikia aliyekuwa anasimamia tics kukiri kukubali uwekezaji mpya wa bandari yetu sina shaka kuna kheri mbeleni kuliko tulipotoka. Kitendo cha kuruhusu mijadala huru kwenye mikataba inayoingiwa na viongozi wetu nchini kitatuokoa sana.
 
Mbona Rais akiwa Mkristo hatuwasikii viongozi wa dini ya Kikristo wakimtetea Rais? Ila hawa wenzetu Rais akiwa wa dini yao wanaona kama ni mali yao.
 
Watukane maana wala hakuna mwenye kushoboka na hao maaskofu. Unadhani kila mtu anaowaona viongozi wa dini ni watu wa maana kihivyo?
Hajui huku kwetu tunamtukuza Mungu pekee hao maaskofu na viongozi hakuna anaewatukuza kwao sjui wana mudi mara wana mufti mkuu yaani hao ni binadamu lakini ukiwakosoa wanakuletea jihadi😂😂😂
 
Back
Top Bottom