Afghanistan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 308
- 403
Nakwambia ni enzi za Mwinyi sababu nilikuwa nafuatilia hii mihadharaSio enzi ya mwinyi ni mkapa mwishoni na kikwete
Ukitaka mazinge atimue mbio kashikilia kanzu mtishe " Mwamposa huyoooo" weeee balaa
Kibaraka mwingine wa utapeli wa waarabu
Huyu ni mwajiriwa kama wewe na mimi. Hana mamlaka ya kugawa nchi kwa wakoloni kama Mangungo.
Nisimjue mazinge mimiHumjui nadhani mazinge
Wanabishana nini?Nisimjue mazinge mimi
Yeye na Ndacha wanabishana kila siku
Hajui huku kwetu tunamtukuza Mungu pekee hao maaskofu na viongozi hakuna anaewatukuza kwao sjui wana mudi mara wana mufti mkuu yaani hao ni binadamu lakini ukiwakosoa wanakuletea jihadi😂😂😂Watukane maana wala hakuna mwenye kushoboka na hao maaskofu. Unadhani kila mtu anaowaona viongozi wa dini ni watu wa maana kihivyo?