Kwa Matendo Ya Bakwata, Ndio Chanzo Kikubwa Cha Mizozo Na Misuguano Na Taasisi Nyingine!! Haiko Pale Ilipo Kwa Maslahi Ya Waumini Wa Kiislam Wa Tanzania!! Hivi Mtu Kama Huyo, Aitwae Sheikh! Tenaa Wa Mkoa Wa Dsm!! Kutoa Matamshi Yenye Ukakasi Kwa Kiasi Kikubwa!! Sijui Na Sina Hakika Na Hilo Daraja Lake Kitaaluma!! Lkn Pia Bakwata, Hivi Mbona Lipokuja Suala Au Masuala Yahusuyo Waislam Na Imani Yao, Mbona Hamuonekani Kutoa Makatazo, Kuulani, Kutetea, Kuongoza, Kutatua N.k. Mwakaa Kimyaaaa!! Waislam Wangapi Wamepata Madhira Kwa Kudai Haki Za Imani Yao Ya Kuabudu Na Zile Za Kikatiba?? Mbona Hiyo Nguvu Hatuioni!! Na Ikitokea Mmejitokeza, Basi Mtakuwa Upande Wa Serikali!! Au Mtatoa Tamko La Kulaani Kiunafiki Tu! Baada Ya Muda Mnakuwa Kimyaaa, Kama Hakuna Issue Yoyote Iliyopita!! Mnauza Mali Za Waislam, Waumini Wakihoji Mwawabambika Makesi Na Kushinikiza Wasipewe Hata Dhamana Mahakamani (Mf.Sheikh Ponda) Kama Mko Kwa Maslahi Ya Waislam, Hebu Leo Mtueleze Kosa Lake, Ambalo Haliwezekani Hata Kupewa Dhamana! Na Ninyi Mwachukua Hatua Gani!!?? Badala Yake Mko Kisiasa Tu, Leo Eti Sheikh Mkuu Wa Mkoa, Anatoka Na Kutaka Kumtetea Kiongozi Wa Serikali Na Kuwaona Waislam, Ambao Ndio Msingi Wa Uwepo Wake Hapo, Ni Wapuuzi, Wajinga, Hawajitambui, Walopokaji, Watu Wa Hovyo Na Wasio Na Elimu!! Sasa Kama We Ndiye Kiongozi Wao, Wasema (Kuwaona) Hivyo!!!! Je, Wengine Wasio Waislam Wataowaona Vipi!!? Ndio Maana Twasema Bakwata, Si Baraza Kuu La Waislam Wa Tanzania!! Kwanza Wanataka Kuwa Peke Yao!! Na Kuungwa Mkono Na Serikali, Ambayo Ndio Iliyoiweka Hapo!! Ndio Maana Taasisi Nyingi Ambazo Ndio Wadau Wakubwa Wa Baraza!! Serikali Nayo Yaikingia Kifua, Kwamba Kauli Ya Bakwata Ndio Ya Mwisho Hapa Nchini!! Hata Ikiwa Kinyume Na Imani Yao Waumini!!! Mbona Kule Kwa Wenzetu Wakristo Haiko Hivyo!!!? Taasisi Zote, Za Kimadhehebu Ziko Sawa, Na Serikali Inazitambua Na Kuziheshimu?? Sasa Hapo Bakwata Serikali Ina Maslahi Yapi!!!?? Hadi Iwe Kama Iwe Ya Serikali?? Sasa Viongozi Wamejidhirisha Kwa Kuwait Wazi Kuwatetea Viongozi Wa Serikali Na Si Waumini Wake!!! Muda Wenu Wa Kuwaburuza Wenye Baraza Lao Umekwisha!! Na Serikali Muda Wa Kuitumia Bakwata Kwa Maslahi Yenu Umekwisha!!!