MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
Yaani huyu Sheikh wa mkoa hapo hamna mtu kabisa,huyo kama kijiti kimevishwa kanzu na kofia ila mtu hukuna.......hii ndio kazi ya bakwata.
hiviii hamjui kuwa anavurugwaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyu Sheikh wa mkoa hapo hamna mtu kabisa,huyo kama kijiti kimevishwa kanzu na kofia ila mtu hukuna.......hii ndio kazi ya bakwata.
Kwani uongo.Watakuambia huyo Sheikh alichaguliww na TEC
Hapa ndipo namkumbuka sana Sheikh Ponda.
Kwani uongo.
Yule Sheikh wa Bakwata huyo sawa kuongea hayo maneno mwenzake Jongo alilia kabisa huyu akulia kweli.
Nyie ndiyo wamoja? Mbona walokole wanalalamika hawamo kwenye tume ya katiba wakati kuna Maaskofu na Wachungaji wamejaa bungeni unaongea kama punguani vile.Nyie sio wammoja kabisa....Mmeparanganyika....Kila mtu anaropoka lake......Haya sasa ngoja tuendelee kuona mnavyorukaruka..
Watakuambia huyo Sheikh alichaguliww na TEC
Kwani uongo.
Yule Sheikh wa Bakwata huyo sawa kuongea hayo maneno mwenzake Jongo alilia kabisa huyu akulia kweli.
Nyie sio wammoja kabisa....Mmeparanganyika....Kila mtu anaropoka lake......Haya sasa ngoja tuendelee kuona mnavyorukaruka..
Hahaahaa kama kijana ndiyo nikubaliane nae.hahahaaa ritz nawee unamponda huyu shehe kijana auuu.. maana huyu twamjua anatoka tawi la ccm bakwata
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa
Uwa wanajifungia ofisini Bakwata wanachaguana kisha wanatangaza.Ritz Bana? TEC wanachaguaje Shekhe wa mkoa?
Dini ya wasaka tonge hawana msimamo yanaongozwa kwa ubwabwa,
Uwa wanajifungia ofisini Bakwata wanachaguana kisha wanatangaza.