Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mzee wa sefuli [emoji23]It has been long overdue.
Good riddance to filthy rubbish......
Sasa yupo huru 'kuchambana' na kina Mange instagram.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa sefuli [emoji23]It has been long overdue.
Good riddance to filthy rubbish......
Sasa yupo huru 'kuchambana' na kina Mange instagram.
Muhamasishaji wa Amani na Uzalendo aliyasafiri kwenye nchi zaidi ya 20 duniani, Mwenyekiti na Mjumbe wa kamati zaidi ya 10 za kidini na Kitaifa tena mwenye tuzo zaidi ya 15. Suala la kutengua uteuzi wa Sheikh wa mkoa wa DSM yani Alhad Mussa Salum limewaacha wengi na maswali.Na kashfa ya kuwala wanawake waliokuwa wanaenda kuomba talaka
Kama vile?Hii italeta tafrani kubwa sana
Takataka za awamu ya tano zinaondoka kwa kasi, ni kama kalaana kanawapata
Lazima, anapenda mikundumyule,balaaahVipi katafuna muke ya Dr. Mwaka?
Kumbe mufti naye keishaikwaa Phd!UTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa
Baraza la waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka
Juzi vyombo vya habari hapa nchini vilimnukuu akisema yeye hataki kuwa mufti wa Tanzania akionya kama kuna watu wanamshambulia wakidhani anataka madaraka hayo.
Pia kumekuwa na taarifa za kutukanisha BAKWATA kwa tabia yake ya kugombana na wanabrog mange kimambi kwa muda mrefu
Nasafi yake inachukuliwa na shekhe Walid Alhad Omar
![]()
USSR
Ni vyema shura ya maimamu ishirikishwe kwenye kumchagua sheikh mpya wa kuziba hiyo nafasi.Sawa, katolewa ila asiletwe sheikh mhafidhina na mfia dini ya kigeni wakati ni muafrika mweusi tii. Anatakiwa sheikh mwenye msimamo wa wastani juu ya dini hiyo anayoiamini
Imeisha hiyo.Kazi imeanza
Atoke tu kadumu hadi vitoto vinakuwa na watoto akwende.UTV wanaripoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Issa Salum ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa.
Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka.
Juzi vyombo vya habari hapa nchini vilimnukuu akisema yeye hataki kuwa mufti wa Tanzania akionya kama kuna watu wanamshambulia wakidhani anataka madaraka hayo.
Pia kumekuwa na taarifa za kutukanisha BAKWATA kwa tabia yake ya kugombana na wanablog Mange Kimambi kwa muda mrefu
Nafasi yake inachukuliwa na shekhe Walid Alhad Omar
USSR
Hata hivyo bado mheshimiwa Mufti amemvumilia sana sijui huenda alikua anamuonya ndani kwa ndani mjivuni huyuMufti kafanya maamuzi sahihi.
kiongozi wa dini ni kioo cha maadili na nidhamu ya kiwango cha juu kwa waamini wake na hata jamii kwa ujumla.
Pongezi kwa shek wa mkoa mpya aliyeteuliwa.