Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

Kuna vitu ambavyo havihitaji statistical tests maishani, just simple majority na frequency, prevalence na percentage vinatosha kutoa rat smell.
Are you even serious?

You came up with a big conclusion that contains almost 50 percent of the whole population.
And you're saying there's no need of any statistical test or research on something huge like that?

This is one of the reasons why I said your topic is based on your own deluded perspectives, opinions, religious hypocrisy and prejudice.

Now tell me I'm wrong.
Unafahamu wazi kuwa ukifanya research ya aina hiyo hutapata approval (IRB) ya protocol yako.
Then attempted to post your disparagement without any approval from anyone.

Without any decent evidence or research that why it's disparagement.


Why didn't you just perform the research then post it in here?
Lakini hata dissemination utakwenda kuifanyia wapi na utaipublish kwenye journal IPI
Ok so what exactly you think you're doing here?
Isn't this a dissemination?

Dissemination is not necessarily supposed to be in a newspaper or magazine even this is dissemination.

Weak justification to justify your reckless topic.
Wewe huna weledi hata kidogo ya unachoking'ang'ania cha kufanya utafiti. Inaonekana kuwa you are one part of the problem.
The fact that you're the one who attempted to proclaim on something without any decent evidence or research.

Obviously You're the one who's part of the problem.
 
So you concur that you have no idea what you're doing?
To know ,
So you concur that you have no idea what you're doing?
You are part of the sin, I can just plot the number of Moslem students in the class, lecturers in the departments, workers in the hospital, DCs in the country, Ministers in the country, Executive Directors and so forth against the number of other religions'. To hell with your research on it. Do you think Palestinians need to do an childish research in order to know that Israel is their greatest enemy.

You have so cheap argument
 
Let me make it a little short.

Umefanya research? Au hujafanya research?
We msukuma mkatoliki usiwe hivo unatia aibu

Tatizo nyie wakristo mnashindwa kuamini kua KWELI haifichiki halafu hapa jamvini sio wazembe kama kondoo wenu kule zizini🙈🙈🙈

Wewe unashindwaje kutuletea idadi ya wakuu wa wilaya tu kwa class ya dini zao ili umprove wrong huyo mwenzio?
 
Nyie jengeni shule na vyuo...
Tuacheni sisi tujenge misikiti mikubwa
Maisha ni kuchagua
 
Ok then Do it.

Do you think Palestinians need to do an childish research in order to know that Israel is their greatest enemy.
Your instance is invalid on this argument.

It's not just it doesn't make any sense. But actually shows the percentage of your reasoning capacity.

You have so cheap argument
The amount of your words alone can decide which one is the cheap argument and which isn't.

Down here is the sign of cheap argument and what it looks like.
To hell with your research on it


Now stop arguing and answer my questions.

Well you can't because your whole topic is 100% based on your own deluded perspectives, opinions, religious hypocrisy and prejudice.

So you have no points against my questions.
Which means everything you wrote is just disparagement.
 
Ninyi hamjatofautiana? ANSWAR SUNN,SUNN,SHIA sio tofauti? Wengine wanafungua EID Leo wengine kesho hiyo sii tofauti?
 
Leta results za research uliyofanya mpaka kufikia kwenye hii conclusion.

Na sio some religion hypocrisy.
Ni rahisi tuu, anza na wewe mwenyewe na rafiki zako : mlivyokuwa shule ya msingi ratio ya Wakristo Vs waislam ilikuwaje? Sekondari ikawaje? University ikawaje? Etc....
 
[emoji1666][emoji1666]
 
Nani amekukataza wewe, tena mtaalamu wa elimu, usilete uzi wako unaojadili elimu kwa Watanzania wote?? Umeshikwa mikono usiandike?? Yeye kwa upande wake ameona alete uzi kuhusu hili ili kupata maoni ya Watanzania wenzake, sasa wewe unataka kumpangia cha kusema, wakati unaweza kuleta hayo mawazo yako na watu watachangia pia.
 
[emoji23] [emoji23] Daah yaani kama wazee wa Yanga??? Mfano yule Mzee Kilomoni msema hovyoo?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kujenga msikiti na madrasa zitazosomesha Qur'aan na Sunnah ni bora mara elfu kuliko kujenga shule.
Ndipo hapa tunapokwama... Kwa nini visijengwe vyote? Hii ndiyo inafanya waumini wanashindwa kujitegemea kimaisha kwani maisha ya dunia ya leo yanahitaji shule/elimu dunia. Juzi nilikuwa kwenye sala ya Eid, huwezi amini michango ya waumini kwa ajili ya kuboresha msikiti haikufika haya laki mbili wakati waumini wake kwa waume walijaza kiwanja kikubwa kabisa jirani na msikiti. Hii maana yake waumini hawana fedha na stable employments. Matokeo yake ni viongozi wa misikiti kugombea sadaka na mali za misikiti. Pia kwa viongozi wa BAKWATA inakuwa rahisi kurubuniwa kifedha na mali na wanasiasa, hivyo kushindwa kutetea Waislamu.
 
Hayo na wewe ni mawazo yako, usiwasemee Waislamu. Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake, kama umechefukwa ina maana hupendi mawazo mbadala kama ilivyo kwa viongozi wa BAKWATA. Hoja ya msingi iliyotolewa ni kwamba hapa duniani elimu ya kuyakabili maisha na kupata stadi za maisha ni muhimu. Tukienda misikitini tunatakiwa kusaidia ujenzi wa misikiti na madrasa, sasa tutaludanyaje hilo ikiwa hatuwekezi kwenye shule na vyuo ili waumini wapate ujuzi wa kuajiriwa, kujiajiri na hata kuajiri Waislamu wenzao? Hata biashara au viwanda au kilimo cha kisasa vyote vinahitaji elimu, sasa wewe tatizo unaliona wapi hapo? Kuna kipindi Waislamu walikuwa vinara wa kulalamika kuachwa nyuma kwenye uongozi wa nchi kuanzia wabunge, mawaziri, makatibu wakuu na nafasi nyingine. Je bila elimu ya kutosha rais atawachaguaje kumsaidia kuongoza nchi?? Inaonekana Mkapa alivyofanya uamuzi wa kukigeuza chuo cha Tanesco pale Msamvu Morogoro kuwa chuo kikuu cha Waislamu roho yako ilikuuma sanaaaaa maana Waislamu watakuwa hawaendi misikitini na kwenye madrasa (kwa mtazamo wako) si ndiyo?? Unafahamu faida waliyoipata Waislamu kwa uwepo wa chuo hicho cha MUM shehe wangu???
 
Wakichanga nyingi zinaliwa na mashehe mkuu, mashehe wengi kazi zao hazijulikana.Kuhudimua dini sio kazi.
 
Waache waendelee kuuza kahawa mjini, waislamu tuliomka tusha achana na hadithi za ufukara.
Dini bila pesa ni kukufuru.
 
Toa mifano mkuu, mimi niko Morogoro, ukiondoa Jabalhila (ambayo ni ya zamani) na chuo cha MUM bado shule za Kikristo ni nyingi sana kuanzia primary mpaka sekondari... Na ziko vizuri sana kwa performance. Angalia shule kama St Ann's pale Kihonda, yaani from chekechea mpaka sekondari, na wako very efficient....
 
Lakini Waislamu ndio matajiri wakubwa hapa nchini sijui nao wamependelewa na nani, na pia kwenye makampuni yao asilimia 90 ya wanaoajiriwa ni Waislamu nadhani ungeanzia huko kwanza mkuu.
Hapo najua unazungumzia Wahindi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…