Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

Bakwata ni taasisi kwel lakin si Kwa minajil ya waislam Kwanza muanzilishi wake si muislam dhima zake si za kiislam viongozi wake ni waislam lakin wanatumikia serikal na wanalipwa mishahara.
BAKWATA iliundwa baada ya Nyerere kuivunja Muslim Association ambayo ndicho chombo hasa kilichokuwa kinaendeleza elimu kwa waislam. Bakwata iliundwa kama tawi la CCM linalotumiwa na serikali kuwatuliza waislam ambao hata kabla ya wakoloni walikuwa wanafahamu angalau kusoma na kuandika kiarabu. Wakati huo waislamu walionekana wana akili kuliko watanganyika wote ambao walikuwa hawajui kusoma na kuandika chochote kile, angalau waislam walikuwa wanajuwa kusoma na kuandika. Ndiyo maana hata uhuru wa tanganyika ulitegemea sana waislam kwakuwa walikuwa werevu japo kwa kumudu kuandikiana barua.
 
Kama Bakwata haitaacha kuwa chombo cha kisiasa waislamu watakuwa wasindikizaji milele kwenye taifa lao. Hali ya waislam inatisha sana, kuna taasisi za umma zinafungua mikutano yao kwa sala kwakuwa wengi ni dini moja tu.

This is a lame excuse. You are a procrastinator. Make a decision now, when it is still possible to do so. Kulalamika ni tabia mbaya sana
 
Idadi ya wiaslamu wako kwenye vyuo vikuu, ofisi za umma na sehemu zote za utumishi ni ndogo sana kulinganisha na watu wa dini nyingine.

Bila shaka pamoja na mambo mengine ya kihistoria, imani, ukabila, ukanda na kiuchumi lakini idadi ndogo ya watoto wa kiislamu kwenye vyuo vikuu ukilinganisha na watoto wa dini nyingine inaweza kuwa sababu ya msingi ya shida hii

Badala ya kuwaza kujengewa misikiti mingi na mikubwa weka jitihada zako kwenye kujenga shule na vyuo vingi ambako watoto wengi wa kiislam watapata ilmu dunia pia. Elimu hii ndiyo inayotoa wahandisi, madaktari, wauguzi, walimu, marais, mawaziri, wakurugenzi na watumishi wengine.

Fanya sensa ya watumishi kwenye kila wizara, ofisi, shule Na vyuo vya umma Na binafsi ujionee hali ilivyo. Pitapita huko uone idadi ya walimu wa vyuo vikuu huko.

Mazoezi ya kuhifadhi Qur'an yaende sambamba na mazoezi ya kuhifadhi hisabati Na fizikia kwenye madrasa zao.

Kama viongozi wa ofisi mbalimbali wengi ni wa dini fulani bila shaka watumishi wanaotegemea maoni yao kwenye kuajiliwa na kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali bila shaka watakuwa kama wa dini za wanaowateua. Like dissolve like.
Now yuko mama samia now kila appointment ni mzanzibar au muislam.utasema anachagua viongozi wa madrasa!

Woke up mama!
 
Akikuelewa, ni"tag". Yeye mwenyewe kabanana hukohuko ilimu ahera.
 
This is a lame excuse. You are a procrastinator. Make a decision now, when it is still possible to do so. Kulalamika ni tabia mbaya sana
Actually sio kulalamika as such, it is a mere fact that non muselems form the minority in many public offices and posts. Is it because they are not many in the general population having the necessary qualifications for the posts,
or it is an intended biasness in the recruitment and appointment of the staff.

Mimi nimeenda mbali kuwageukia waislam wenyewe kuwa hata huko vyuo vikuu waislamu sio wengi kivileee. Yaani utashangaa idadi ya waislamu na wakristo kwenye shule za msingi za umma inalingana, lakini waislam idadi yao inaendelea ikipungua linearly kwenye hatua mbalimbali za kuelekea vyuo vikuu. Mwenyewe nimegundua kuwa shule za umma hazitoi wanafunzi wengi kwenda vyuo vikuu kutokana na mapungufu yaliyoko kwenye miundombinu, vitendea kazi na human rsources kwenye shule hizo kulinganisha na shule za seminari na St. ...Academy. Vyuo vikuu vizuri vinachukuwa wanafunzi wenye ufaulu mkubwa kutoka hizi shule binafsi ambazo waislam wanamiliki sana na zenye usimamizi hafifu. Kwa hali hii definitely hata kazini watakuwa wachache pia.
 
Now yuko mama samia now kila appointment ni mzanzibar au muislam.utasema anachagua viongozi wa madrasa!

Woke up mama!
Hii ni kuonyesha kuwa kumbe kuna sababu nyingine za makusudi zinazotumika kuacha kuwateua na kuwaajili na kuwaita kwenye semina watumishi ambao ni waislamu. Natamani mama samia Rais wetu ahakikishe kuwa ofisi zote za umma zinakuwa na watumishi wa dini zote kwa usawa na uwiano, asiogope kutembea na rula ili kupima idadi ya mawaziri, wakuu wa mikoa, maRAS, maDC, wakurugenzi wa wilaya na mashirika ya watumishi sawa kwa dini zote.

Ndugu zangu huko ndio kula keki ya taifa kwa usawa. Mtu mwenye ajira ana kipato kinanachomwezesha kusomesha watoto wake, kununua ardhi na kujenga makazi na kukooesheka kwenye vyombo vya fedha. Kama waislam wapo wenye sifa asiogope kuweka ulinganifu kwenye ajira.
 
Mkuu nmesoma tu kichwa cha habari tu aafu nashuka kucomment apa
Mkuu ktk ma-mufti waliojitahidi kufanya kazi ya bidii wa kwanza ni uyu zuberi kuna mfuko wake unasomesha watoto kuanzia form 2 wanachukua waliofaulu vizuri shule za serkal wanapelekwa private shule kama kinondoni Islamic ambayo kwa mwaka ada yake ni zaidi ya M1.5 lakn mfuko wa uyu sheikh unasaidia mtoto atatoa ada ya 450k kwa mwaka mzima mdogo angu ni mnufaika wa mfuko huu na shuleni kwao wamechukuliwa wengi sana labda ulitaka ajitangaze?? Unajua gharama za kuendesha shule??
 
Bora nyinyi,mnaoiba mitihani na kutafuta vyeti feki.Povu ruhsa.
Huko kuiba mitihani,ndipo mnapokabidhiwa majukumu ya kikazi,yanawashinda.Inabakia kutafuta vyeti fake.
Hii tarawee mliiimba sana, mkahitaji majina rasmi yasitumike kwenye matokeo kidato cha NNE na SITA, mkawekewa viongozi wa kiislam NECTA na system ikaanza kutumia namba badala ya majina ya wanafunzi, lakini bado tu Shule zenu ni SIFURI mpaka leo.

Waislam na Elimu ni Paka na panya
 
Huwa sipendi kuchangia mada za hivi lakini ngoja niseme neno hapa.
Naomba nitumie mfano wa black Americans ambao nao wapo nyuma kwenye Kila kitu USA sawa na waislamu wa Tanzania.
Wengi wa black Americans ni wakristu Wala si waislamu lakin ukienda kuwachunguza matatizo yao ya kukosa elimu,ajira, huduma za afya, nk zinafanana Sana na waislamu wa Tanzania.
Swali ni je kama tatizo ni uislamu inakuwaje black American mkristu ashindwe kufanikiwa kama mkristu mwenzake wa Tanzania?
Kwa hiyo swala hapa si muislamu wa Tanzania Wala black American ila ni mfumo uliowekwa ambao hauzipi nafasi hizi jamii mbili moja ya Tanzania nyingine USA.
Wakati Nyerere anavunja East Africa Muslim walfare society na kuunda bakwata Kuna prof mmoja UDSM alitaka kugombea cheo cha mufti alipigwa vita na serikali ya Nyerere vibaya mno akatishiwa mpk maisha yake.
Mpk leo uchaguzi wa mufti serikali inaingilia mchakato wake sana.
Hakuna uchaguzi ulishafanyika bila serikali kuweka mkono ili mtu wao apite.
Swala la waislamu kuwa wachache ajira serikalini ni sabbau waajiri wengi ni wa dini nyingine. Fuatilia mchakato wa kuajiri katika taasisi za elimu ya juu Tanzania utachoka kabisa.
Mkuu wa institute ndiye anayepanga panelist wa interview anachofanya anapanga wengi wanakuwa wa dini fulani halafu wanakupa maksi za chini wa dini nyingine makusudi ili wabaki wa dini yao ( na inakuwa communicated kabla ya interview).
Hata sasa ambapo utumishi wanasimamia hizi ajira bado tatizo lipo.
Ukiwa mkuu wa institute unaweza amua nani apate ajira na bahati mbaya sana dini na kabila vimetumika sana kuwanyima watu wengine haki ya ajira ambayo mwisho wa siku inaamua mustakabali wa vizazi vijavyo.
Nashangaa Sana sheria za Tanzania nilishashuhudia mkuu wa institute moja akimuajiri mkewe simply sabbau alipanga panelist na kuwapa maswali ya kumuuliza.
Tunataka utumishi waangalie namna ya kuzuia wakuu wa institute kujipanga story itakuwa nyingine.
Naunga Sana mkono utumishi kutumia mfumo wa marks za written interview kuunganishwa na za oral interview kwenye kumpata mshindi tofauti na baadhi ya taasisi wanavyozitumia kama njia ya kuscreen wanaoingia kwenye oral interview ambapo ni rahisi Sana kuwapanga penelist.
Tumesoma na wakristu na tunafanya nao kazi Kuna wako vizuri Sana na wako vilaza mno si kwamba wote wako smart kuliko waislamu Kama ambavyo waislamu wapo vipanga na vilaza vile vile.
Katika mifumo ambayo iko lose namna hii unawezaje laumu jamii nyingine kuwa nyuma wakati kila kitu kiko wazi.
 
Mkuu nmesoma tu kichwa cha habari tu aafu nashuka kucomment apa
Mkuu ktk ma-mufti waliojitahidi kufanya kazi ya bidii wa kwanza ni uyu zuberi kuna mfuko wake unasomesha watoto kuanzia form 2 wanachukua waliofaulu vizuri shule za serkal wanapelekwa private shule kama kinondoni Islamic ambayo kwa mwaka ada yake ni zaidi ya M1.5 lakn mfuko wa uyu sheikh unasaidia mtoto atatoa ada ya 450k kwa mwaka mzima mdogo angu ni mnufaika wa mfuko huu na shuleni kwao wamechukuliwa wengi sana labda ulitaka ajitangaze?? Unajua gharama za kuendesha shule??
Hii bado si solution sababu wanachukuliwa wachache Sana.
Naamini Sana shule za kata zikikomaa kwa kuwekewa miundombinu zitaleta mapinduzi makubwa kabisa ndio maana walizipinga Sana wakati zinaanza zikadhihakiwa lakin sababu ilikuwa kukatisha juhudi za kuleta mfumo wenye usawa katika kupata nafasi za masomo kwa jamii zote.
 
Unaonekana kuwa hata hujui waislam walipewa majengo ya tanesco kufungua chuo. Hili lilikuwa changa la macho ili kuwaziba mdomo baada ya Wakatoric kupewa/kurejeshewa majengo ya iliyokuwa shule ya Forodhani DSM, Walutheri kupewa majengo ya iliyokuwa Magamba secondary Lushoto na Anglican kupewa majengo ya iliyokuwa Mazengo secondary ilipo St. Jonh's University Dodoma. Kwa aibu ikamlazimu Mzee Mkapa kuwapa waislam majengo ya Tanesco. Lakini lengo kuu hasa ilikuwa ni Wakatoric kupewa Forodhani, wengine walikuwa by the way.
Wafia dini hawatakuelewa ndio Mana tunasema libakwata halina cha maana zaidi ya kuhimiza maulidi tu
 
Wakati Nyerere anavunja East Africa Muslim walfare society na kuunda bakwata Kuna prof mmoja UDSM alitaka kugombea cheo cha mufti alipigwa vita na serikali ya Nyerere vibaya mno akatishiwa mpk maisha yake.
Nimeshasema bakwata haikuundwa na waislam na wala haitatokea kuwatetea waislamu ...nyerere alihujumu sana uislamu na mkapa alikuja kugongea nyundo hila nyingi juu ya waislamu hata kuuawa kwa waislamu kuliko ratibiwa na mkapa ktk utawala wake kulitokana na waislamu kudai haki zao...ipo siku hii historia ya uonevu itakuja kuanikwa na vizazi vijavyo..

Mungu azidi kuwachoma Moto mkapa na nyerere kwa uonevu walioutenda.
 
What is way forward?
 
Mnapiga kelele tu wewe ni mtoto wa Islam au hujui maana ya Muislam?

Rudini kwenye dini zenu mmekalilishwa na kumilikishwa mira za warabu hadi mavazi.

Je Mungu aliumba mavazi ya ukoo wa Islam au Christ?

Mbuzi nyie hamna mambo ya kutafakari juu ya uAfrika wenu?
 
BAKWATA wana shule zaidi ya 60,Kati ya hizo 32 ni vyuo vya dini.30 ni secondary,,wasomi wengi wa kiislamu waliomaliza BAKWATA,wako nje nchi na wanafasi nzuri za kazi,na wengine ni wafanyabiashara maarufu.
Wanakusaidia nini ktk familia yako kama siyo kusifia ujinga?
 
Wakati Nyerere anavunja East Africa Muslim walfare society na kuunda bakwata Kuna prof mmoja UDSM alitaka kugombea cheo cha mufti alipigwa vita na serikali ya Nyerere vibaya mno akatishiwa mpk maisha yake.
Nimeshasema bakwata haikuundwa na waislam na wala haitatokea kuwatetea waislamu ...nyerere alihujumu sana uislamu na mkapa alikuja kugongea nyundo hila nyingi juu ya waislamu hata kuuawa kwa waislamu kuliko ratibiwa na mkapa ktk utawala wake kulitokana na waislamu kudai haki zao...ipo siku hii historia ya uonevu itakuja kuanikwa na vizazi vijavyo..

Mungu azidi kuwachoma Moto mkapa na nyerere kwa uonevu walioutenda.
What is way forward?
Bakwata ina watu wa system kila mwenye kuwatetea waislamu anakiona cha Moto..wenyewe humu libakwatani hawaaminiani
 
Hata hivyo vijana wengi kuishia elimu ya chini inaweza kuwa na faida zake na hasara pia.
Hasara ni kwamba hutawaona maofisini kama wa dini nyingine lakin hii pia ina faida zake.
Mfano GDP ya Zannzibar ambayo ukicheki Kila matokeo ya kitaifa shule zao zinaburuza mkia kea miaka mingi imikuwa inaongoza kwa ukuaji ukilinganisha na bara.
Hii ina maana kwamba vijana wanaingia kwenye shughuli za uzalishaji mali mapema kitu inawapa nafasi ya kuwa na uwezo wa kutoboa mapema.
Bahati mbaya kw bara ni tofauti sababu Ile mikoa yenye waislamu wengi bado huduma nyingi za jamii ni shida Sana toka mkoloni mpk leo ikiwemo barabara hivyo kijana atalima lakin hakuna miundombinu ya kufikisha mazao yake sokoni.
Hivi kwa nini hakuna reli ya kutoka Mtwara to Dar? Hata ukiangalia NFYDP II yale mambo ilipangwa kufanyika Mtwara development corridor hayajafanyika mpk tumeingia NFYDP III.
Hata kitendo cha Magu kuingilia biashara ya zao la korosho nashuku Sana ni mbinu za kudhorotesha Ile corridor. What was the essence?
 
Kila mwenye namba kwenye karatasi ya uhakiki kuna majina 3 ya mtahiniwa anapoweka saini kuthibitisha amefanya mtihani.

ndalichako iliwahi kutolewa madarakani na team yake yote endapo kumbukumbu ipo sawa.
Karatasi ya uhakiki ipi? Hulu suala lilimalizwa toka miaka ya 90 lilivyoibuliwa na Kighoma Malima
 
Back
Top Bottom