Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Status
Not open for further replies.
Nashukuru kile kidogo nilichojaaliwa. Naomba unihifadhi al habib, kuninasabisha na MS mnanitia unyonge. Tafadhalini sana naomba mnipe stara kidogo.

Heshima kitu kidogo, nina waheshimu sana, nami naomba heshima yenu japo kidogo, mkome kuninisabisha na MS.
 

Kwa kubwa au la maana lipi ati nawe unasibishwe na Mohamed Said kama si kutiana mishombo...!?

Hishma haiombwi hujiumba/ huja yenyewe kutokana na malezi na kujitambua.

Yule mganga njaa mwandio alokataa wazazi wake na kujinasabisha na hoyo Mchonga meno Yericko Nyerere ndaa ilimkimbiza baada ya kuona apuuzwa hata na weye shogaake ati naye Mchambuzi....!?

Mnfssssss....!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Izz

Elimu gani ulonayo we mzigua usie na kwenu!
We akujuae nani ktk ulimwengu huu zaidi ya Jf!
We ni wa kujisifu kuwa una elimu kuliko Mohamed Said ?
Ama nyie watoto kweli najsi!

We na hao ahli zako mmejifunza kuvaa suruali miaka michache tu ilopita! Leo hii umekuwa mjuaji!?

Kazi zenu kubwa huku.mjini ni kuuza mifuko iliotumika ya plastic!
Halafu leo unaleta kibri!

Hivi siku mkianza kupata nafasi serikalini si mtanyea watu usoni nyie!!

Unajigamba na kusema usinasibishwe na MS!
We hujui kuwa mzee MS anaweza kukuweka mjini wewe na wanao mkala bure mpaka yule muuza gongo wenu akastaafu kwenye hizo promotion zake za kuhalalisha gongo!?

Kikojozi wahedi!
 
Last edited by a moderator:
Wewe punguani kweli hivi Prof. Lipumba, Jussa, Juma Duni, Zitto Kabwe, Maalim Seif hawa ni wakirsto?

Nyerere sindiyo role model wenu, Lissu ana jipya zaidi ya kurudia yale yale tuliokuwa tunayasema humu.

Nenda kanywe mbege na nguruwe kisha rudi nakusubiri kauzu wewe.
 

Kauli za "MKOME" ni kauli za kishoga!
Sasa we kijana! Si nilikwambia huku mjini hakufai kuja macho juu!?
Sasa unaona! Umeanza kutumia lugha za mipasho km kina anti joseph!

We huna muda sasa hivi utaanza kuvaa chupi za kike na wanja!
We haya we!
Kina Nicholas walianza km wewe!
Leo mwana wa kichaga amekuwa Chakula! Na wewe hayo makalio ya kizegua hapo mjini hayana usalama tena!
 
Last edited by a moderator:

Hakuna wa kukunasibisha na Mzee wetu Sheikh Mohamed Said.

Wewe zaidi ya JF nani anakujua wewe? Kaa kimya nyambafff weee!!
 
Last edited by a moderator:

Watu wa ajabu sana

Alichokisema lisu ni copy n paste toka kwa moh said na dr harith ghasamy,,ajabu sasa lisu aliecopy ww unampgia makofi kisha muasisi wa maaarifa hayo moh said na dr harith unabwabwaja eti waombe radhi..

Nguruvi3 umerukwa na akili??

Jamvi linakusoma ujue...Unajidhalilisha sana,,,anyway acha sisi tuchukue zetu points...

Madrasa raha sana teh teh teh...
 
Nilikuwa sijui kama ninawakera. Nitasimama na ukweli unaotoka katika akili yangu.
Inshallah, tumekusikia lakini ni vema kama ungetumia lugha ya stara.
Tukiongea kama maaluni nyani wataangua vicheko ati!

Shekhe tulia, kaa kitako pata funda tatu za maji ya ukwaju. Tuliza moyo ili mwenyezi akujaalie uwalinganie watu kwa busara na hekma. Lugha unayotumia inatashif umma. Ikisemwa kauli njema ya mtu huwavuta wengine.

Mola akujaalie inshalah, uwe na hekma na akuswamehe pale ulipopotoka, hakika sisi ni viumbe dhaifu na wala hatuna utimilifu. Mimi nshakuwai radhi.

Wasalimie hapo nyumbani.
Je, mafuriko mumesalimika? Mwenyezi awakinge na mabalaa.
 
Ni heri kuliko kuzunguka duniani nikieneza fitna.

Mahakama/vyombo vya sharia havipo..!?

Kwanini asitukuliwe khatwa katika upotoshaji wake...!?

Maneno/msaada wake Mohamed Said kayaweka /kaueka hata yule kafiri wenyu mkuu mfia ukatoliki Nyerere akiwa bado yu hai mbona hakumpinga...!?

Wakati wa kushikkwa akili na unyang'anyi, urongo, utapeli alifahamu kuwa umekwisha muda mwingi mno.

Nani kawahi fanza challenge za maandiko ya Mohamed Said ili wanajamvi uwe umewasaidia kuufahamu ukweli kama si maropoko na ndaa zikusumbuazo hapa...!?

Acha wivu wa kipuuzi na roho ya kifudhuli juu ya wanaoeka wazi yale yalokuwa yamefichwa.

Ntarejea.
 
Last edited by a moderator:
Hapana nina akili timamu ndio maana nina uwezo wa kuwaambia lugha hii nzuri, hii mbaya, msafianye hivi au mnapotoka mkisema vile, pale kuna fitna, hapa kuna hikma n.k.

Isipokuwa mnipe heshma na hekma,msinisabishe na MS, hilo tu ndilo ninalowaomba.
 
Ni heri kuliko kuzunguka duniani nikieneza fitna.

Fitna hizo hizo ajabu amesimama lisu kuzisema mnapgia makofi teh teh teh

Kweli ni bora kukosa mali kisha angalau upate akili

Chutama nguruvi3 tumewaweka uchi mchana kweupee teh teh teh

Msicheze na huu moto nyinyi Mtaungua...

Oooh...
 
Ni heri kuliko kuzunguka duniani nikieneza fitna.

Hivi nje ya Jf nani anakujua? Yaani wewe kukaa kuwadanganya vilaza wenzio kwenye kijithread chenu cha Siasa unajiona ndio kila kitu,
Kithread chenyewe mmejifungia mnaulizana mnajibishana wenyewe nakujifanya mnajua sana mambo, mimi huwa nawaona kama mazuzu tu,
Sasa wewe kweli wakujifananisha na MS kwa lipi hasa? Au kaumaarufu ka Jf ushajiona na wewe Super star?
 

Mkuu hapa kuna watu hisia za dini zinawasukuma kiasi hata wanasahau wao ni nani..!? I'm here stealing to the movie AND I will hit where it hurts most.
 
Hapana nina akili timamu ndio maana nina uwezo wa kuwaambia lugha hii nzuri, hii mbaya, msafianye hivi au mnapotoka mkisema vile, pale kuna fitna, hapa kuna hikma n.k.

Isipokuwa mnipe heshma na hekma,msinisabishe na MS, hilo tu ndilo ninalowaomba.

Hatuwez kukunasibisha na moh said

Infact huingii hata kwenye nafas ya viatu vyake

Tunakuombea duaa tuh uifaham haki na uwendawazimu ukutoke

Kwa sababu ktk akili ya kawaida huwez kushupalia copy n paste za tundu lisu kisha ukaja kuzishambulia na kuzibeza original facts kutoka kwa moh said n dr harith ghasamy

Nguruvi3 naona sasa umegeuka chanuoo,,kazi zako ni mbili tuh kuchana nyweleee na kusuka nyweleee...

Teh teh teh

Vip ming'oko itapanda lkn??naona ushaanza kukosa hata hamu ya kula...

Ogopa hizi sura nguruvi3...

We are capable of giving injuries to stones,hospitalising the rock..,,,madrasa product we are so mean we can make even the medicine sick...

Teh teh teh...

Pole nguruvi3...hata km ni chungu vumilia tuh ndivyo haqi ilivyo...

Huwa inachoma choma

Kwi kwi kwi kwi....
 

Huyu Nguruwe ni mshenzi tu!

Humshughulishi mtu hapa,wacha tukutie majiti tu mpaka ukome!
Mohamed Said anajulikana kote Ulimwenguni kwa kazi zake bora kabisa!

Hii leo JF ikizima savers zake tutakusahu, hakuna anae kujua nje ya hapa!

Nakushauri utoe ule mwiba wa ---- kwanza kabla hujaendelea na mazungumzo haya. Kwenye hii mada huna HOJA bali ni UHARO tu unaandika!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa kuna watu hisia za dini zinawasukuma kiasi hata wanasahau wao ni nani..!? I'm here stealing to the movie AND I will hit where it hurts most.

Mdini wa kwanza mie, wangine utawatafute weye.

Sa ulikitaka niongozwe na fikara za kilevi kama wale gongo group kesha nitumbukie shimoni... Kama hao akina Tundu Lissu wa CP...!?

Na weye pia utakuwa umevaa nguo ya V mchana kama hunu...!

Leo Lissu kaanza na hilo dogo, subirini si muda ataeka wazi main point ambayo ni ile ya UDINI wa yule Kaafir Nyerere.

Sina hakika baada ya hili ni lepi tena ila kituo ni UDINI.

Ntarejea.
 

Teh teh teh

Aite vilaza wenzake kama Mwanakijiji waje wamsaidie

Hapa leo atavuja damu leooo...

Tunae leo,,tumemkamata mtuhumiwa wetu...

Hana pa kuchomokea ... Lisu kawa chambo chetu na kitoweo nguruwe kimenasa

Bahti mbaya sisi kiumbe kama nguruwebni haram so tutapeleka kwa mbwa koko wakishughulikie

Kwisha habari yake

Teh teh teh..
 
Last edited by a moderator:

Mmh... with this attitude.. duh ...very separate and long way to go.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…