Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Mazingira tofauti sababu tofauti. but are they ready to do it again? just like first time?Detective,
Hilo la kupoteza maisha ni sehemu ya historia ya matatizo yaliyoko Zanzibar.
Wazanzibari wengi wamepoteza maisha katika kupigania nchi yao.
Dini hamzuii mtu kufanya uhalifu.Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Hakuna watu wabaya kama Wanaharakati unaleta harakati katika maslahi ya umma ?Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.
Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa.
Anatoka anasema oooh yamekwisha, furaha itoshe tumetoka, tusishindane na mwenye nguvu. Tushukuru tumetoka.
Wanaharakati wetu wa dunia ya tatu maskini ya Mungu, very uchwara. I hope Sheikh Farid does not subscribe to this man’s crap.
Jamaa wamenyookaSheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka.
Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna watu wale wasiojulikana, kama wamataka kuharibu kitu au ku-create kitu basi hutengeneza sababu ambayo itatupa sisi dhima kwa hiyo tuwe wavumilivu.
Furaha itoshe tumetoka, tuko huru na tusubiri tutakaporuhusiwa kufanya mijumuiko tutafanya, tukiambiwa hapana basi tusishindane na mwenye nguvu.
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana huyo Mselemu toka Shein yuko madarakani alishaomba msamaha na alikiri kuponzwa na wenzie msamaha umetoka akahubiri amani sasa na sio vurugu hii nchi inaendeshwa kwa sheria na lazima tuheshimu mamlaka.Kati yako wewe na yeye nani anaejua zaidi? Yeye na wenzie ndio waliokuwa mstari wa mbele kupigania wanachokijua huku wameshikana mikono, unaweza vipi kumpinga mwalimu wako wewe shabiki tu.
Yaliyomfika huko alikokuwa kwa miaka tisa yamemfunza asirudie kushindana na mwenye nguvu zaidi yake, kama kuipigania "Zanzibar yao" hiyo Zanzibar yao walipewa na nani? au waliinunua wapi? na kwanini wao kuipigania "Zanzibar yao" kusababishe waumie wengine ambao hawahusiki?
Ile Zanzibar ninayoijua mimi ni ya wote, hakuna mwenye Zanzibar yake pale, ule waliofanya ulikuwa ni ulevi tu wa ubinafsi na mihemko uliowasababishia matatizo, sasa mwenzako anakiri alikosea, wewe bado unataka umrudishe alikotoka wakati akiteseka kule wewe ulikuwa nyumbani na familia yako unakunywa chai na vitumbua.
Tangu wakae Gerezani Wakristo wa Zanzibar walipumua maana hapakuwa tena na Mapadri kupigwa risasi wala Makanisa kuchomwa moto.Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Tangu walipowekwa gerezani ulishasikia makanisa yakichomwa moto? ulishasikia makasisi wakimwagiwatindikali na kuuwawa. Sasa subiri wajisahaurishe kama miaka 5 au sita hivi waanze moto wao wa kuwavutia kasi hawa watu wanaowaita Kamafiri, utasikia kanisa moto, mchungaji, padri at el, wanamwagiwa tindikali mara paaaap risasi. Dah mungu aingilie kati aiseeeEbaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Kama wanaharakati kwenye vinchi vyetu ni uchwara, unasubiria nini wewe kuanzisha harakati hizo ili uwe hero?Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.
Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa.
Anatoka anasema oooh yamekwisha, furaha itoshe tumetoka, tusishindane na mwenye nguvu. Tushukuru tumetoka.
Wanaharakati wetu wa dunia ya tatu maskini ya Mungu, very uchwara. I hope Sheikh Farid does not subscribe to this man’s crap.
UNAWAJUA SHEIKH FARID NA SHEIKH MSELEM NA WALICHOKUWA WANAHAMASISHA???! TAFUTA CLIP ZAO.Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa
Bro usijifiche nyuma ya keyboard kama unauthubutu wa kupinga Serikali dhalimu njoo hadharani Mselem anajua anachokiongea ujui kitu kuhusu uhamsho. Imagine katika nchi inayoendeshwa kwa katiba wanatokea watu wanasema tarehe fulani nchi ni yetu hii kwako ni sawa?Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.
Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa.
Anatoka anasema oooh yamekwisha, furaha itoshe tumetoka, tusishindane na mwenye nguvu. Tushukuru tumetoka.
Wanaharakati wetu wa dunia ya tatu maskini ya Mungu, very uchwara. I hope Sheikh Farid does not subscribe to this man’s crap.
Na ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa wala tindikali iliyomwagwa ???
Miaka waliyokaa jela imewapa masomo mawili:Msiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
Kwa hiyo Tanzania ni mbinguni hapakuwahi na wala hapatatokea kuwapo kwa magaidi sio?Haujapatikana ushahidi wowote katika suala la ugaidi.
Hadi leo toka sheria kupitishwa hakuna mtu yeyote aliyehukumiwa kwa kosa hili.
Hawawezi kufanya hivyo vipi na wale wa kibiti waliokokbilia msumbiji sasa...Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Watafute shughuli halali ya kufanya kuliko kutaka kuendesha nchi kwa vitisho dhidi ya dini nyingine.Wametia akili sasa
Mzee kikwete mnamuonea tu yeye aliletewa tu kumbuka walikamatwa Zanzibar ila Wanzanzibar wenyewe ndio wakaomba wakae jela za huku kule kwao hawatajifunza kitu ishu ya migogoro ya Zanzibar wabara tunabebeshwa lawama tu ila wenyewe kwa wenyewe ndio wanakamiana.Watafute shughuli halali ya kufanya kuliko kutaka kuendesha nchi kwa vitisho dhidi ya dini nyingine.
JK ndio alishughulika nao sidhani kama wanaweza kumbughudhi.