Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

Hao ni magaidi totally bt hekima tu imetumika kuwafutia mashtaka, mnaodai hamna ushahidi tafuteni mahubiri/mawaidha yao, hapo wamekalishwa kitako na kuonywa dhidi ya kutojirudia huo ushenzi wao ndo maana wameachiwa.
Ngoja walete tena huu Utaahira wao wa kuhubiri chuki, uchochezi na ugaidi waone
 
"etween the lines

"Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna watu wale wasiojulikana, kama wanataka kuharibu kitu au ku-create kitu basi hutengeneza sababu ambayo itatupa sisi dhima kwa hiyo tuwe wavumilivu"

"tutakaporuhusiwa kufanya mijumuiko tutafanya, tukiambiwa hapana basi tusishindane na mwenye nguvu."

Ujumbe wote uko hapo kashasema kila kitu kwa wenye macho makubwa
 
Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.

Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Baada ya wao kuswekwa ndani hatkusikia tena mabomu kulipuliwa makanisani au wakristu kukatwa vichwa, serikali hijashindwa ila imeona tu suluhu ya kisiasa kwa usalama huko zenj iwatoe lasivyo ya nguoni yangeanikwa kwani hawa walikuwa na watu wazito nyuma yao na sasa hawapo duniani.
 
we jamaa ni mpuuzi au ni miongoni mwao, hao masheikh ni hatari kwa usalama wa taifa kuliko majambaz, vibaka, wanaharakati wa siasa.

hao jamaa walipaswa wanyongwe kabisa maana bila serikali kuwakata saivi TZ ingeshakua mogadishu, hawa watu walikua na mtandao mkubwa karibu nchi nzima wakueneza mafundisho ya chuki kwa kisingizio cha dini.

kuna team yao ilikua chanika maeneo ya zingiziwa walikamatwa na masilaha ya kutosha yalotumika kibiti kuua watu waso na hatia,wengine walikamatwa arusha, mwanza, na nk... we jamaa kama unawatetea nawe unapaswa kukamatwa.
 
Ngoja walete tena huu Utaahira wao wa kuhubiri chuki, uchochezi na ugaidi waone
nina hakika hawawezi kurudia mkuu, nchi walitaka kuifanya mogadishu ajili ya upumbavu wao, yaani nchi isio na dini wao ndo walijifanya wanahaki zaidi na kuleta mahubiri ya chuki na uchochezi wa kidini alafu serikali iwaangalie tu.
 
Nchi isiyo tenda haki kwa raia wake huendeleza udhalimu na dhuluma bila woga wowote kwa kujua fika kwamba wataiba kura na kutumia mtutu ili kubaki madarakani. Tungekuwa na Katiba ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi huu upumbavu wa kutisha watu wasidai haki zao usingekuwepo.
 
Anzisha wewe hizo harakati upokee kijiti cha kukaa gerezani angalau miaka 4 na nusu
 
Na ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
Makanisa yalichomwa lini ? Na kabla ya mwaka huo wakina sheikh mselem hawakuwepo ??
 
Kati yako wewe na yeye nani anaejua zaidi? Yeye na wenzie ndio waliokuwa mstari wa mbele kupigania wanachokijua huku wameshikana mikono, unaweza vipi kumpinga mwalimu wako wewe shabiki tu...
Sina nia ya kuingilia ubishani wenu dhamiri yangu ni kuweka sawa suala la Zanzibar, Unasema hakuna mwenye Zanzibar yake, kisha unasema Zanzibar ni ya wote ? Maana yake nini ?? Zanzibar inawenyewe na wenyewe ni wazanzibari, wameipata wapi ? Wameirithi kutoka kwa wazee wao.
 
Hekima ni kitu adhimu DUNIANI.

Busara ni kitu adhimu DUNIANI.

Kuishi katika taifa bora Kama hili la TANZANIA ni jambo la kumshukuru sana MWENYEZI MUNGU 🙏.

Nchi hii isiyoendeshwa KIDINI.
Nchi hii isiyo na vita vya KIDINI,RANGI NA KIKABILA.
Nchi hii yenye kutoa UHURU WA KUABUDU NA KUTENGAMANA NA WENGINE KIUCHUMI ,KISIASA NA KIJAMII bila ya UKANDA NA UKABILA.....

Tuendelee tu KUULINDA umoja wetu kama watanzania......

#NchiKwanza
#JMTKwanza
#KaziInaendelea
 
Shehe tulia ule ubwabwa lea wajukuuu life is too short Acha nature iamue.Usiibeb dunia.Ipambanie nafsi yako kwa Mola wako.Maisha si zaidi ya kula na kunywa vingine ni kuukimbiza upepo.
Huwezi ilazimisha Roma iwe Macca
 
Shehe tulia ule ubwabwa lea wajukuuu life is too short Acha nature iamue.Usiibeb dunia.Ipambanie nafsi yako kwa Mola wako.Maisha si zaidi ya kula na kunywa vingine ni kuukimbiza upepo.
Huwezi ilazimisha Roma iwe Macca
🤣🤣🤣

Nimependa hapa...."maisha si zaidi ya kula na kunywa.....".

Tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kutupa busara.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…