Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
KABISANa ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KABISANa ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
Ngoja walete tena huu Utaahira wao wa kuhubiri chuki, uchochezi na ugaidi waoneHao ni magaidi totally bt hekima tu imetumika kuwafutia mashtaka, mnaodai hamna ushahidi tafuteni mahubiri/mawaidha yao, hapo wamekalishwa kitako na kuonywa dhidi ya kutojirudia huo ushenzi wao ndo maana wameachiwa.
Baada ya wao kuswekwa ndani hatkusikia tena mabomu kulipuliwa makanisani au wakristu kukatwa vichwa, serikali hijashindwa ila imeona tu suluhu ya kisiasa kwa usalama huko zenj iwatoe lasivyo ya nguoni yangeanikwa kwani hawa walikuwa na watu wazito nyuma yao na sasa hawapo duniani.Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Tuheshimiane, tuvumiliane hata sie wanaotuita makafiri tulipaza sauti watolewe. Wakaendeleze Imani Yao bila kuchokoza kundi ambalo si la Imani Yao.Wakae kwa kutulia sasa, siku nyingine ushahidi utatosha
we jamaa ni mpuuzi au ni miongoni mwao, hao masheikh ni hatari kwa usalama wa taifa kuliko majambaz, vibaka, wanaharakati wa siasa.Wamehubir nin zaid ya haki usawa mm nina cd za mihadhara zote wametufunua macho sana na elimu kiukwel tumeipata kutambua hak za msingi kabisa wew endelea tu ila muda utaongea hakuna kiongoz yoyote zanzibar mwenye saut kama kama hawa viongoz wa uwamsho wew jitoe faham tu ila iko siko hak itasimama
Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
nina hakika hawawezi kurudia mkuu, nchi walitaka kuifanya mogadishu ajili ya upumbavu wao, yaani nchi isio na dini wao ndo walijifanya wanahaki zaidi na kuleta mahubiri ya chuki na uchochezi wa kidini alafu serikali iwaangalie tu.Ngoja walete tena huu Utaahira wao wa kuhubiri chuki, uchochezi na ugaidi waone
Magu...Kwahiyo wataendelea na kuchoma makanisa na kuua askari wetu kama walivyokuwa wanasema kabla ya kukamatwa mkuu?
View attachment 1822033
Anzisha wewe hizo harakati upokee kijiti cha kukaa gerezani angalau miaka 4 na nusuDaaaah....
I hope and pray Sheikh Farid hakubaliani na hiki kituko cha huyu mtu.
Ana elimu gani huyu shehe? Hayuko media savvy kabisa. Sio kila swali la kila ki You Tube TV kinachokimulika lazima ujibu.
Mmepigania nchi mkarushiwa risasi jukwaani, mkafungwa miaka tisa, hata kama huna nia ya kuendelea na mikutano kwa sasa huna haja ya kutamka mambo ya kishehe ubwabwa namna ile.
Makanisa yalichomwa lini ? Na kabla ya mwaka huo wakina sheikh mselem hawakuwepo ??Na ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
Sina nia ya kuingilia ubishani wenu dhamiri yangu ni kuweka sawa suala la Zanzibar, Unasema hakuna mwenye Zanzibar yake, kisha unasema Zanzibar ni ya wote ? Maana yake nini ?? Zanzibar inawenyewe na wenyewe ni wazanzibari, wameipata wapi ? Wameirithi kutoka kwa wazee wao.Kati yako wewe na yeye nani anaejua zaidi? Yeye na wenzie ndio waliokuwa mstari wa mbele kupigania wanachokijua huku wameshikana mikono, unaweza vipi kumpinga mwalimu wako wewe shabiki tu...
Osama alikufa lakini ugaidi bado, unataka kutwambia nini hasa?Na ndani ya hiyo miaka 9 hakuna makanisa yaliyochomwa wala tindikali iliyomwagwa.
Nieleweshe hiyo historia ili niijue mkuu.Magu...
Ungeijua historia tungeweza kufanya mjadala mzuri kwa jinsi ulivyo na ghera ya mjadala huu.
🤣🤣🤣Shehe tulia ule ubwabwa lea wajukuuu life is too short Acha nature iamue.Usiibeb dunia.Ipambanie nafsi yako kwa Mola wako.Maisha si zaidi ya kula na kunywa vingine ni kuukimbiza upepo.
Huwezi ilazimisha Roma iwe Macca
🤣🤣🤣Kuna watu watakwambia mwanaharakati njaa,lakini ukimwambia toka wewe front anaishia kwenye key board