Kama anaogopa serikali atakuwa anamuogopa hata iblishawa ndio watu unaotegemea wakunyooshe ukae karibu na utukufu wa Mungu.. ndio hawa.. kweli itakuwa rahisi Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Akili zako za kitumwa, zimeishia kwenye kuajiriwa tu. Think big. If you know what I mean.Bila shaka utakuwa muajiriwa wa muda mrefu wa hao maboss wanaoshusha kontena mbili kila mwezi umeamua kujipa ukuu hapa jukwaani kwamba wewe ndie boss. Maboss wengi hapo kariakoo ninao wafahamu hawana hulka ya kubwabwaja mitandaoni kujikomba kwa watawala ama kusifia kama hufanyavyo wewe
Shekhe la mchongo, Shekhe ubwabwa, Shekhe njaa [emoji23][emoji23][emoji23]Mchumia tumbo huyo shehe. Alafu Mwaipopo amekuwaje shehe huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kule Mbeya vitimoto vinatembea mitaani free kama wananchi wa kawaida kabisa.
Au ndio wale mashehe na wachungaji wa mfumo, wako huko kwa ajenda maalumu.
Hawa wakina mwaipopo wakamalizanw kwanza na Dr. Mwaka huko hapa ni suala la Tanganyika na bandari zake. Hili suala limemzidi uwezo wake wa kugawa gahawa mitaaniNaunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.
View attachment 2674579
My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..
Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu.
Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Kwa miaka mingi mashehe hula sana ubwabwa tena mwingi ktk tafrija. Sisi tulipokuwa wadogo ktk kuvamia sherehe huwa tunatafuta kukaa karibu na mashehe maana huwa wanapendelewa sana chakula kingi na kizuri. Lakini hii haikuwa kitu kibaya kwa sababu mashehe hufanikisha sherehe nyingi uswahilini. Sema baadaye ikaja kutafsirika hivyo kwa kuwadharau.Hivi mashekh wanakula ga ubwabwa tu hawali chakula kingine? Au ni kuwadhihaki tu.
Wewe na huyo shehe ubwabwa mna kipi cha kuiga mbali na udini na uchawa wa kuunga mkono kila kitu??Mdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia T
Nilitaka kushangaa mnyakyusa muilslamu! Kumbe alislimHuyo Mwaipopo unaijua historia yake? Alikuwa mkristo. Wakati wa vuguvugu la kuingiza uislam wenye msimamo mkali nchini, wakati wa utawala wa Mwinyi, yeye ni miongoni mwa wale waliamua kutumikia tumbo, akatekwa na pesa ya waarabu, na ili atengeneze mazingira ya kyzidi kushibishwa zaidi, akaamua kuslim.
Yeye wakati wote anaangalia zaidi tumbo linampeleka wapi. Kauli kama hizi, anatengeneza mtego wa kunasa pesa ya waarabu wa DP.
Mkuu usitukane pale unapozidiwa na hoja,Ni maajabu ya Dunia. Yaani mtu kama wewe ambaye una IQ ya chini kabisa, siyo kwamba huna mchango, bali ni hasara tupu, halafu unaamini unamzidi gwiji wa sheria prof. Shivji!!!
Huku ndo mana kujiunga iwe na vigezoMdhalilishe.Shivji ana kipi Cha maana Kwa umri wake amewahi changia Tanzania?
Kumbe anatangaza biashara
Qaliosomeshwa na Shivji ndiyo katika walioenda shule za kusomea ujinga.
Ndiyo maana Tanzania inadidimia kwa kuina mtu kama huyo ana maarifa.
Mie nilikuwa nahisi mtu mwenye maana kumbe poyoyo.
Unaoewaje maarifa na mtu asiye na maarifa? Unajazwa ujinga tu.
Wasoma biblia hukuwaona?Msoma Kuruani tena akisikia mambo ya Waarabu lazima kidudu kigonge kwa hamu ya kupelekwa Uani
Anavuna alichopandaTumeamua kumdhalilisha nguli wa sheria Prof. Shivji sasa