binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Mkumbusheni kulikuwa na mtu anaitwa Musiba Cyprian.
rushwa ni rushwa tu gentleman, hausafishiki 🐒
kua mstahilivu na mwenye subra gentleman, Baraza kuu la chadema taifa linakuja mwezi September 🐒Gentleman unategemea Heche alipewa rushwa ili afanye nini ? Coz chama chake hakina nguvu yoyote Tanzania
Huyu jamaa kakimbia ukiristo kahamia uislam. Kwa bahati mbaya Uislamu hakuusoma na kuufahamu. Muislam anatakiwa akizungumza kitu awe na ushahidi wa kutosha na sio kuchafua watu.Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
Kuna mkuu miaka ya nyuma kidogo aliwahi kusema ukitaka usibughudhiwe na tra, peperusha bendera ya ccm sehemu ya biashara yako.Hii nchi unaweza kujivunjia zako sheria, na kuwa na kikundi cha ugaidi. Cha msingi uwe CCM tu, na umsifie Rais.
Hapana, mwacheni, huyo ndiye msemaji rasmi na mtetezi wa serikali na waislam, ale, ashibe aropoke, alindwe huyo huyo muislam aliyewahi kufakamia nguruwe.Hibi Huyu Shehe mbona kama anatumika sana kuleta taharuki mtaani.?
Nani yuko nyuma yake.
Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
kua mstahilivu na mwenye subra gentleman, Baraza kuu la chadema taifa linakuja mwezi September 🐒
hiyo ni porojo tu gentleman 🐒😄 watu walikuwa na hofu na mama samia after magu kufa, but unaona the way inchi iko poa, maisha mazuri, amani ipo, everything okay
So hata Heche akitolewa still atakuja mwingine mkali zaidi gentleman
Ila maisha haya ! Leo hasikiki tena achilia mbali kujia kama yupo ama la!Mkumbusheni kulikuwa na mtu anaitwa Musiba Cyprian.
hiyo ni porojo tu gentleman 🐒
ni kupoteza wakati kujadili vibaraka useless gentleman 🐒😄 mlijua lisu akiwa jela chama kitakufa matokeo yake yamekuwa tofauti
Wewe mwenyewe ni kibaraka hatari kuliko mtu yeyote duniani kwa hao wanaokutuma.ni kupoteza wakati kujadili vibaraka useless gentleman 🐒