Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh

Aiseeh! Kwanini hakuwaleta mtaani?. Polisi ndio walijaa mtaani. Angewaleta wale mateja mtaani Polisi waondoke.
ile ni filamu gentleman 🤣

awalete mtaani kivipi badala utumie azam 2 kuaiangalia filamu hiyo mpaka mwisho?🤣
 
Ni suala la muda tu ,walikuwepo machoko washenzi na machawa Kama Musiba, Humphrey polepole na wajinnga wengine enzi za Magufuli Ila zama zao zilipita na walionja joto ya jiwe chini ya utawala huu wa kishenzi ,Karma is a bitch .Huyo ***** Mwaipopo sio wa kwanza kuna muda atakipata anachokitafuta siku nyingi
 
Duh sasa hv ameacha vitisho kwa waandamanaji kahamia kwa CHADEMA na Heche?
 
Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.

Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.

"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"

TOKA MAKTABA :
August 13, 2025

State Oil yachangia Sh Mil 500 harambee CCM​

Na Mwandishi WetuAugust 13, 2025
GyLA6bSWUAAbmRo-780x470.jpeg

DAR ES SALAAM; Kampuni ya Usafirishaji wa Mafuta nchini ya State Oil, imechangia Sh milioni 500 katika harambee ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchangisha fedha kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Harambee hiyo ya kitaifa ilifanyika Dar es Salaam jana na zilichangwa zaidi ya Sh bilioni 86, kati ya fedha hizo, Sh bilioni 56.3 ni fedha taslimu na Sh bilioni 30 ni ahadi.

Mwenyekiti wa bodi wa kampuni hiyo, Nilesh Suchak amesema wameamua kuchangia fedha hizo kutokana na kuvutiwa na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan katika kukuza uchumi wa nchi.

1783952550118.jpeg

Picha maktaba : Mwenyekiti wa bodi wa makampuni ya State Oil ndugu Nilesh Suchak. Tovuti: StateOil Group State Group

Baadhi ya waliochangia ni Rais Samia (Sh milioni 100), CCM upande wa Zanzibar ulitangaza kukusanya Sh bilioni nne, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi alisema anachangia Sh milioni 50 na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira alichangia Sh milioni 20.

Wengine waliosimama na kutaja mchango (Shilingi) ni Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango (milioni 20), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (milioni 20), Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah alisema anachangia Sh milioni 20, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson anachangia Sh 20.

Dk Tulia alisema Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid anachangia Sh milioni 20. Wachimbaji walitangaza kuchangia Sh bilioni 16.2 na kampuni ya GSM imechangia Sh bilioni 10 na taasisi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara nao walichangia
 
View attachment 3628381

NILESH - NITAWATAJA WAHUNI WANAOMTUMIA MWAIPOPO

MwanaCCM kindakidaki na mdau wa sekta ya uagizaji mafuta ndugu Nilesh Suchak akanusha madai ya Saidi Mwaipopo, kuna wahuni walinifuata kuniomba hela nikawakatalia ndiyo maana wananichafua kwa mizengwe.

Nitawaanika wale wahuni wote ambao niliwakatalia pesa ambao wameamua kunichafua na kuwafanya niondoke nchini kwangu kwenda kuishi Afrika ya Kusini.

Ni kweli nilimchangia Samia shilingi 500 milioni ila sijawahi kuwapa hela wa upande wa pili (CHADEMA)

View: https://www.threads.com/@maulidkitenge/post/Dan1fLIkfYS/media
 
MwanaCCM kindakidaki ndugu Nilesh Suchak akanusha madai ya Saidi Mwaipopo, kuna wahuni walinifuata kuniomba hela nikawakatalia ndiyo maana wananichafua kwa mizengwe.

Nitawaanika wale wahuni wote ambao niliwakatalia pesa ambao wameamua kunichafua na kuwafanya niondoke nchini kwangu kwenda kuishi Afrika ya Kusini.

Ni kweli nilimchangia Samia shilingi 500 milioni ila sijawahi kuwapa hela wa upande wa pili (CHADEMA)

View: https://www.threads.com/@maulidkitenge/post/Dan1fLIkfYS/media

Hii dunia kuna watu wanaroho mbaya yaana wamekaa kuombaomba tu kupokea rushwa na ukiwanyima wanakuletea matatizo yaana kuna watu mabogazi kwelikweli.

Wanaishi mjini na kutanua, kwa pesa za kutishia watu (blackmail)

View: https://www.instagram.com/reel/DaiQ_fNqupe/
 
Huyo Popo ni mwendawazimu , huyo Nilesh kahojiwa juzi hapo kasema yeye hawezi kuchangia CHADEMA sababu yeye ni CCM.

Hii project inasimamiwa na vilaza haina siku nyingi kama ile ya udini ambayo Gen Z waliizima kwa kutunga salamu mpya za mchanganyiko wa dini zote.
 
NILESH - NITAWATAJA WAHUNI WANAOMTUMIA MWAIPOPO

MwanaCCM kindakidaki na mdau wa sekta ya uagizaji mafuta ndugu Nilesh Suchak akanusha madai ya Saidi Mwaipopo, kuna wahuni walinifuata kuniomba hela nikawakatalia ndiyo maana wananichafua kwa mizengwe.

Nitawaanika wale wahuni wote ambao niliwakatalia pesa ambao wameamua kunichafua na kuwafanya niondoke nchini kwangu kwenda kuishi Afrika ya Kusini.

Ni kweli nilimchangia Samia shilingi 500 milioni ila sijawahi kuwapa hela wa upande wa pili (CHADEMA)

View: https://www.threads.com/@maulidkitenge/post/Dan1fLIkfYS/media

View: https://www.instagram.com/reel/Dasgt0TgrMi/
 
Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.

Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.

"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"

Hela hazidanganyi. kanzu tupa kule...tunavaa kispot spot. JEans na raba mtoni šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚
 
Huyu ni mpuuzi flan hivi mbona hawatoi uthibitisho?
Kwani mtu kupewa pesa na mtu kwa hiari yake ni kosa?
Mbona hawasrmi TANROAD imepewa tenda ya kununuq mtqmbo wa sukari??
 
..tajiri wa Kitanzania akichangia chama, au kiongozi wa upinzani, atakuwa amejitoa kwelikweli.

..kwa mfumo wa utawala tulio nao ni hatari sana kwa matajiri kuunga mkono wapinzani, na vyama vyao.

..huenda anayepigwa vita hapa sio Heche, au Chadema, bali ni huyo tajiri Nilesh.
 
heche kafisidi pesa mingi sana gentleman,

Just relax na kua mstahilivu na mwenye subra, kwenye baraza kuu taifa September 15,2026 utaskia maajabu ya kiwango cha ufisadi wa kutisha wa heche na mnyika šŸ’
Ufisadi wao umefika bilioni 40 za kagoda alizozisema Hayati Benjamin Mkapa?
 
Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.

Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.

"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"

Na nyinyi mnaosambaza habari za huyo mpumbavu madishi yenu hayasomi radar.
 
Cyprian Musiba nimemkumbuka huyu jamaa
 
TOKA MAKTABA :
August 13, 2025

State Oil yachangia Sh Mil 500 harambee CCM​

Na Mwandishi WetuAugust 13, 2025
GyLA6bSWUAAbmRo-780x470.jpeg

DAR ES SALAAM; Kampuni ya Usafirishaji wa Mafuta nchini ya State Oil, imechangia Sh milioni 500 katika harambee ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchangisha fedha kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Harambee hiyo ya kitaifa ilifanyika Dar es Salaam jana na zilichangwa zaidi ya Sh bilioni 86, kati ya fedha hizo, Sh bilioni 56.3 ni fedha taslimu na Sh bilioni 30 ni ahadi.

Mwenyekiti wa bodi wa kampuni hiyo, Nilesh Suchak amesema wameamua kuchangia fedha hizo kutokana na kuvutiwa na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan katika kukuza uchumi wa nchi.

View attachment 3628381
Picha maktaba : Mwenyekiti wa bodi wa makampuni ya State Oil ndugu Nilesh Suchak. Tovuti: StateOil Group State Group

Baadhi ya waliochangia ni Rais Samia (Sh milioni 100), CCM upande wa Zanzibar ulitangaza kukusanya Sh bilioni nne, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi alisema anachangia Sh milioni 50 na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira alichangia Sh milioni 20.

Wengine waliosimama na kutaja mchango (Shilingi) ni Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango (milioni 20), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (milioni 20), Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah alisema anachangia Sh milioni 20, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson anachangia Sh 20.

Dk Tulia alisema Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid anachangia Sh milioni 20. Wachimbaji walitangaza kuchangia Sh bilioni 16.2 na kampuni ya GSM imechangia Sh bilioni 10 na taasisi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara nao walichangia
Kwa hali ya namna hii waTanzania wataachaje kuwa bidhaa tu ya kununuliwa na kuuliwa wakati wowote wanunuzi wanapoona maslahi yao yanaghuswa!

WaTanzania ni muhimu wayatambue haya; kwa sababu ni wao pekee ndio wenye uwezo wa kuyakomesha.
 
Back
Top Bottom