Hii ela ndio nini? Unamaanisha era au hela?Dola laki mbili hata V8 new model huwez kununua 😄
Hata kiwanja masaki hupati
Huyu shekhe ni mshamba wa ela
Anapiga kelele kwa ela ambazo zimetolewa na mwanaume mwenzake 😄

relax bas plz gentleman 🤣Wewe mwenyewe ni kibaraka hatari kuliko mtu yeyote duniani kwa hao wanaokutuma.
Sababu unanuka damu za watu tupu na laana ya kuwaacha wajane, yatima na wagane.
Subwoofer la Abdul kazini.Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
Lakinii mzee wa marope amejitokeza kumtetea NileshMarope
CHADEMA wamempuuza huyo kichaaHivi huyu jamaa ndio kiboko ya makamanda wote wa chadema ee?🐒
Tumezoa sisi waislamu kutumika kama 'toilet paper' tangu enzi za Nyerere baadae watakuja masheikh wetu kulalamika hapa mara tumeisaidia CCM lakini haitujali,serikalini viongozi wengi ni wakristo,shule za kikiristo zinaiba mitihani ndio maana zinafanya vizuri kwenye matokeo ya kitaifa n.k.Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
niliwashangaa sana makamanda wa chadema kumuogopa mtu useless kama huyo aise 🐒CHADEMA wamempuuza huyo kichaa
Ilikuwa Rushwa ya Nini?rushwa ni rushwa tu gentleman, hausafishiki 🐒
michango ya chadema kifisidi heche pekeyake aise 🐒Ilikuwa Rushwa ya Nini?
Wamemuacha ili awe anajiongelesha. Sio Kila kichaa ni wa kumjibu.niliwashangaa sana makamanda wa chadema kumuogopa mtu useless kama huyo aise 🐒
Nimekuuliza ilikuwa Rushwa ya Nini?. Unaijua maana ya Rushwa.michango ya chadema kifisidi heche pekeyake aise 🐒
Labda mshike USD (dolla ya Marekani)Tukishika Dola tutaanza na watu wa aina hii.
ni udanganyifu katika matumizi ya pesa za chama ambazo heche na mnyika wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na familia zao 🐒Nimekuuliza ilikuwa Rushwa ya Nini?. Unaijua maana ya Rushwa.
Yes, Mzee SumayeKuna mkuu miaka ya nyuma kidogo aliwahi kusema ukitaka usibughudhiwe na tra, peperusha bendera ya ccm sehemu ya biashara yako.
Nashindwa kuelewa. Tena akadai Hana uhusiano na CHADEMA.Mbona nileshi mwenyewe alikana kumpa hela heche
mlichekesha sana mlipoufyata mkia baada ya huyo mgambo kuzuia maandamano yenu haramu ya fujo na ghasia sabasaba 🤣Wamemuacha ili awe anajiongelesha. Sio Kila kichaa ni wa kumjibu.
Kibaraka ni wewe unayeishi kwa kukitukana CHADEMA kuanzia mpaka usiku.ni kupoteza wakati kujadili vibaraka useless gentleman 🐒
Sawa Nabii. Ila omba isitokee.Labda mshike USD (dolla ya Marekani)
hiyo kutukana na kuporomosha matusi si ndio identity ya wafuata mkumbo na ya chama chenu gentleman?🤣Kibaraka ni wewe unayeishi kwa kukitukana CHADEMA kuanzia mpaka usiku.
Kumbe ni udanganyifu sio Rushwa Tena?. Umejuaje ni udanganyifu? Ulipitia documents za chama?.ni udanganyifu katika matumizi ya pesa za chama ambazo heche na mnyika wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na familia zao 🐒