Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh

mlichekesha sana mlipoufyata mkia baada ya huyo mgambo kuzuia maandamano yenu haramu ya fujo na ghasia sabasaba 🤣
Wewe ndio unachekesha. Kwa hivyo jeshi la Polisi lilivyojaa mtaani lilikuwa la Mwaipopo?. Wewe kweli akili hauna.
 
Kumbe ni udanganyifu sio Rushwa Tena?. Umejuaje ni udanganyifu? Ulipitia documents za chama?.
baraza kuu taifa September 15, tutawekana sawa tu gentleman, kua mstahilivu na mwenye subra kidogo tu. Acha haraka 🤣
 
hiyo kutukana na kuporomosha matusi si ndio identity ya wafuata mkumbo na ya chama chenu gentleman?🤣
Shida nyie mkikosolewa mnaita matusi. Mnataka watu wawatetemekee. Ukiulizwa tusi Gani umetikanwa hauna cha kusema.
 
Wewe ndio unachekesha. Kwa hivyo jeshi la Polisi lilivyojaa mtaani lilikuwa la Mwaipopo?. Wewe kweli akili hauna.
kwahiyo makamanda wote wa chadema siku hiyo mkabadilika na mkawa kama migambo tu mbele ya biti la huyo jamaa aliekua anazindua movie yake ya kibongo ya kivita?🤣
 
baraza kuu taifa September 15, tutawekana sawa tu gentleman, kua mstahilivu na mwenye subra kidogo tu. Acha haraka 🤣
Mara Rushwa, mara udanganyifu mara, mara Baraza kuu. Unaongea jambo hata hulijui.
 
Shida nyie mkikosolewa mnaita matusi. Mnataka watu wawatetemekee. Ukiulizwa tusi Gani umetikanwa hauna cha kusema.
sasa mbona unaniambia mimi natukana wakati hiyo identity ya kutukana na kuporomosha matusi unajulikana ni ya nani?🤣
 
kwahiyo makamanda wote wa chadema siku hiyo mkabadilika na mkawa kama migambo tu mbele ya biti la huyo jamaa aliekua anazindua movie yake ya kibongo ya kivita?🤣
Yale maandamano hayana mwenyewe ndio maana serikali inangaika Kila siku. CHADEMA ilishasema siku ikihitisha maandamano itasema hadharani. Na mara nyingi CHADEMA imekuwa ikifanya maandamano hadharani.
 
Mara Rushwa, mara udanganyifu mara, mara Baraza kuu. Unaongea jambo hata hulijui.
kwenye mkutano wa baraza kuu taifa September 15, itajulikana tu mbele ya wajumbe wa baraza hilo, kwamba alichofanya au alichokula John Heche na John myika ni rishwa, ufisadi au matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi binafsi na familia zao.

Just relax šŸ’
 
Yale maandamano hayana mwenyewe ndio maana serikali inangaika Kila siku. CHADEMA ilishasema siku ikihitisha maandamano itasema hadharani. Na mara nyingi CHADEMA imekuwa ikifanya maandamano hadharani.
mwenyewe ni chadema gentleman 🤣
 
sasa mbona unaniambia mimi natukana wakati hiyo identity ya kutukana na kuporomosha matusi unajulikana ni ya nani?🤣
Wewe ndio kazi yako. Kutukana na uzushi asubuhi mpaka jioni. Kuanzisha nyuzi za uongo dhidi ya CHADEMA.
 
hata unifanyeje gentleman,
siwezi kukutukana wewe, wala mdau yeyote yule wa Jf
kwasababu yoyote ile.

kwasababu kwangu mimi,
hiyo ni kitu useless na completely nonsense katika majadliano. šŸ’
 
kwenye mkutano wa baraza kuu taifa September 15, itajulikana tu mbele ya wajumbe wa baraza hilo, kwamba alichofanya au alichokula John Heche na John myika ni rishwa, ufisadi au matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi binafsi na familia zao.

Just relax šŸ’
Ndio uache kutoa shutuma ambazo huna ushahidi nazo sio vizuri. Kama hujui kitu uliza sio kuwa kimberembere kudandia mambo barabarani. Ukiulizwa ni shilingi ngapi?. Ililipwa keshi au bank?. Nani alilipa? Na alilipa kwa nani? Oooh! Tusubiri Baraza Kuu.
 
Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.

Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.

"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"

Dollar laki mbele unaweza kuingia nazo Tanzania bila kuzisalimisha? Acha kutunga wewe, bado una kesi ya kujibu Kenya ulikotapeli watu fala wewe. Samia na Abdul wanavyoiba pesa za watanganyika au hilo hulioni?
 
Ndio uache kutoa shutuma ambazo huna ushahidi nazo sio vizuri. Kama hujui kitu uliza sio kuwa kimberembere kudandia mambo barabarani. Ukiulizwa ni shilingi ngapi?. Ililipwa keshi au bank?. Nani alilipa? Na alilipa kwa nani? Oooh! Tusubiri Baraza Kuu.
heche kafisidi pesa mingi sana gentleman,

Just relax na kua mstahilivu na mwenye subra, kwenye baraza kuu taifa September 15,2026 utaskia maajabu ya kiwango cha ufisadi wa kutisha wa heche na mnyika šŸ’
 
Wewe wasema ila yangekuwa ya CHADEMA hakuna mtu angebaki. Hata Simbachawene alisema hadharani kuwa hawajui wanaoongoza maandamano.
abaki wapi na wakati huyo jamaa aliekua anazindua movie yake ya kivita iliwatisha na kuufyata mkia 🤣
 
Wapo tayari na wengine kuhitisha press na kutoa madudu yao? Hawa wanaachwa atusikii msigwa wala polisi
 
heche kafisidi pesa mingi sana gentleman,

Just relax na kua mstahilivu na mwenye subra, kwenye baraza kuu taifa September 15,2026 utaskia maajabu ya kiwango cha ufisadi wa kutisha wa heche na mnyika šŸ’
Uzuri wewe unafahamika ni mzushi. Nimekuuliza maswali mepesi tu yamekushinda. Imebakia tusubiri Baraza Kuu.
 
abaki wapi na wakati huyo jamaa aliekua anazindua movie yake ya kivita iliwatisha na kuufyata mkia 🤣
Aiseeh! Kwanini hakuwaleta mtaani?. Polisi ndio walijaa mtaani. Angewaleta wale mateja mtaani Polisi waondoke.
 
Uzuri wewe unafahamika ni mzushi. Nimekuuliza maswali mepesi tu yamekushinda. Imebakia tusubiri Baraza Kuu.
hiyo ni hot air kwangu gentleman,
but mimi sinaga majibu ya mfukoni.

wew kama uko na marking scheme yako mfukoni, halafu ukategemea mimi nijibu porojo au upotoshaji wako kadiri upendavyo, nadhani itakua unajikosea mwenyewe gentleman 🤣
 
Back
Top Bottom