Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh

Huyu tangu mume wake Sheikh Majini ameuawa na askari naona dishi lake halijakaa sawa
 
Gentleman unategemea Heche alipewa rushwa ili afanye nini ? Coz chama chake hakina nguvu yoyote Tanzania
kua mstahilivu na mwenye subra gentleman, Baraza kuu la chadema taifa linakuja mwezi September πŸ’
 
Huyu jamaa kakimbia ukiristo kahamia uislam. Kwa bahati mbaya Uislamu hakuusoma na kuufahamu. Muislam anatakiwa akizungumza kitu awe na ushahidi wa kutosha na sio kuchafua watu.

Qur'ani inaamrisha uadilifu kwa watu wote:
"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Wala chuki ya watu isiwapelekee kutokuwa waadilifu. Kuweni waadilifu; huo ndio ulio karibu zaidi na uchamungu." Surah Al-Ma'idah (5:8)
 
Hibi Huyu Shehe mbona kama anatumika sana kuleta taharuki mtaani.?

Nani yuko nyuma yake.
Hapana, mwacheni, huyo ndiye msemaji rasmi na mtetezi wa serikali na waislam, ale, ashibe aropoke, alindwe huyo huyo muislam aliyewahi kufakamia nguruwe.

Muda wake utapita, wapi Musiba, wapi Polepole, wapi Sabaya enzi za mwendazake.
 
Huyo jambazi usimwite Shekhe, kama unapenda kutumia hilo neno shekhe, basi anza kwa kumwita kwa sifa yake kamili, sema: GAIDI TAPELI Shekhe Mwaipopo.
 
kua mstahilivu na mwenye subra gentleman, Baraza kuu la chadema taifa linakuja mwezi September πŸ’

πŸ˜„ watu walikuwa na hofu na mama samia after magu kufa, but unaona the way inchi iko poa, maisha mazuri, amani ipo, everything okay

So hata Heche akitolewa still atakuja mwingine mkali zaidi gentleman
 
hiyo ni porojo tu gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…