Sheikh Mwaipopo: Heche anatuhuma nzito, alipewa dola laki mbili na mfanyabiashara Nilesh

Wewe mwenyewe ni kibaraka hatari kuliko mtu yeyote duniani kwa hao wanaokutuma.

Sababu unanuka damu za watu tupu na laana ya kuwaacha wajane, yatima na wagane.
relax bas plz gentleman 🀣
 
Subwoofer la Abdul kazini.
 
Tumezoa sisi waislamu kutumika kama 'toilet paper' tangu enzi za Nyerere baadae watakuja masheikh wetu kulalamika hapa mara tumeisaidia CCM lakini haitujali,serikalini viongozi wengi ni wakristo,shule za kikiristo zinaiba mitihani ndio maana zinafanya vizuri kwenye matokeo ya kitaifa n.k.

Masheikh daini mahakamani ya kadhi na mabilioni ya ruzuku kama wanayopewa wakatoliki kuendesha taasisi zao za afya na elimu kipindi hiki.
Njooni na maono na mipango ya miaka 50 mbele kwa uislamu ili kujinasua kwenye matatizo mengi yanayotukabili.

Sioni taasisi ya kiislamu kama BAKWATA ina 'mission' na 'vision' kazi yao kubwa ni kugombea misikiti ,nyumba na viwanja vilivyoachwa na waislamu safi wenye maono.
Kuuza viwanja hivyo na nyumba za wakfu kwa manufaa yao binafsi
 
ni udanganyifu katika matumizi ya pesa za chama ambazo heche na mnyika wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na familia zao πŸ’
Kumbe ni udanganyifu sio Rushwa Tena?. Umejuaje ni udanganyifu? Ulipitia documents za chama?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…