Wewe ndio unachekesha. Kwa hivyo jeshi la Polisi lilivyojaa mtaani lilikuwa la Mwaipopo?. Wewe kweli akili hauna.mlichekesha sana mlipoufyata mkia baada ya huyo mgambo kuzuia maandamano yenu haramu ya fujo na ghasia sabasaba 🤣
baraza kuu taifa September 15, tutawekana sawa tu gentleman, kua mstahilivu na mwenye subra kidogo tu. Acha haraka 🤣Kumbe ni udanganyifu sio Rushwa Tena?. Umejuaje ni udanganyifu? Ulipitia documents za chama?.
Shida nyie mkikosolewa mnaita matusi. Mnataka watu wawatetemekee. Ukiulizwa tusi Gani umetikanwa hauna cha kusema.hiyo kutukana na kuporomosha matusi si ndio identity ya wafuata mkumbo na ya chama chenu gentleman?🤣
kwahiyo makamanda wote wa chadema siku hiyo mkabadilika na mkawa kama migambo tu mbele ya biti la huyo jamaa aliekua anazindua movie yake ya kibongo ya kivita?🤣Wewe ndio unachekesha. Kwa hivyo jeshi la Polisi lilivyojaa mtaani lilikuwa la Mwaipopo?. Wewe kweli akili hauna.
Mara Rushwa, mara udanganyifu mara, mara Baraza kuu. Unaongea jambo hata hulijui.baraza kuu taifa September 15, tutawekana sawa tu gentleman, kua mstahilivu na mwenye subra kidogo tu. Acha haraka 🤣
sasa mbona unaniambia mimi natukana wakati hiyo identity ya kutukana na kuporomosha matusi unajulikana ni ya nani?🤣Shida nyie mkikosolewa mnaita matusi. Mnataka watu wawatetemekee. Ukiulizwa tusi Gani umetikanwa hauna cha kusema.
Yale maandamano hayana mwenyewe ndio maana serikali inangaika Kila siku. CHADEMA ilishasema siku ikihitisha maandamano itasema hadharani. Na mara nyingi CHADEMA imekuwa ikifanya maandamano hadharani.kwahiyo makamanda wote wa chadema siku hiyo mkabadilika na mkawa kama migambo tu mbele ya biti la huyo jamaa aliekua anazindua movie yake ya kibongo ya kivita?🤣
kwenye mkutano wa baraza kuu taifa September 15, itajulikana tu mbele ya wajumbe wa baraza hilo, kwamba alichofanya au alichokula John Heche na John myika ni rishwa, ufisadi au matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi binafsi na familia zao.Mara Rushwa, mara udanganyifu mara, mara Baraza kuu. Unaongea jambo hata hulijui.
mwenyewe ni chadema gentleman 🤣Yale maandamano hayana mwenyewe ndio maana serikali inangaika Kila siku. CHADEMA ilishasema siku ikihitisha maandamano itasema hadharani. Na mara nyingi CHADEMA imekuwa ikifanya maandamano hadharani.
Wewe ndio kazi yako. Kutukana na uzushi asubuhi mpaka jioni. Kuanzisha nyuzi za uongo dhidi ya CHADEMA.sasa mbona unaniambia mimi natukana wakati hiyo identity ya kutukana na kuporomosha matusi unajulikana ni ya nani?🤣
hata unifanyeje gentleman,Wewe ndio kazi yako. Kutukana na uzushi asubuhi mpaka jioni. Kuanzisha nyuzi za uongo dhidi ya CHADEMA.
Ndio uache kutoa shutuma ambazo huna ushahidi nazo sio vizuri. Kama hujui kitu uliza sio kuwa kimberembere kudandia mambo barabarani. Ukiulizwa ni shilingi ngapi?. Ililipwa keshi au bank?. Nani alilipa? Na alilipa kwa nani? Oooh! Tusubiri Baraza Kuu.kwenye mkutano wa baraza kuu taifa September 15, itajulikana tu mbele ya wajumbe wa baraza hilo, kwamba alichofanya au alichokula John Heche na John myika ni rishwa, ufisadi au matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama kwa maslahi binafsi na familia zao.
Just relax 🐒
Wewe wasema ila yangekuwa ya CHADEMA hakuna mtu angebaki. Hata Simbachawene alisema hadharani kuwa hawajui wanaoongoza maandamano.mwenyewe ni chadema gentleman 🤣
Dollar laki mbele unaweza kuingia nazo Tanzania bila kuzisalimisha? Acha kutunga wewe, bado una kesi ya kujibu Kenya ulikotapeli watu fala wewe. Samia na Abdul wanavyoiba pesa za watanganyika au hilo hulioni?Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
heche kafisidi pesa mingi sana gentleman,Ndio uache kutoa shutuma ambazo huna ushahidi nazo sio vizuri. Kama hujui kitu uliza sio kuwa kimberembere kudandia mambo barabarani. Ukiulizwa ni shilingi ngapi?. Ililipwa keshi au bank?. Nani alilipa? Na alilipa kwa nani? Oooh! Tusubiri Baraza Kuu.
abaki wapi na wakati huyo jamaa aliekua anazindua movie yake ya kivita iliwatisha na kuufyata mkia 🤣Wewe wasema ila yangekuwa ya CHADEMA hakuna mtu angebaki. Hata Simbachawene alisema hadharani kuwa hawajui wanaoongoza maandamano.
Uzuri wewe unafahamika ni mzushi. Nimekuuliza maswali mepesi tu yamekushinda. Imebakia tusubiri Baraza Kuu.heche kafisidi pesa mingi sana gentleman,
Just relax na kua mstahilivu na mwenye subra, kwenye baraza kuu taifa September 15,2026 utaskia maajabu ya kiwango cha ufisadi wa kutisha wa heche na mnyika 🐒
Aiseeh! Kwanini hakuwaleta mtaani?. Polisi ndio walijaa mtaani. Angewaleta wale mateja mtaani Polisi waondoke.abaki wapi na wakati huyo jamaa aliekua anazindua movie yake ya kivita iliwatisha na kuufyata mkia 🤣
hiyo ni hot air kwangu gentleman,Uzuri wewe unafahamika ni mzushi. Nimekuuliza maswali mepesi tu yamekushinda. Imebakia tusubiri Baraza Kuu.