ile ni filamu gentleman 🤣Aiseeh! Kwanini hakuwaleta mtaani?. Polisi ndio walijaa mtaani. Angewaleta wale mateja mtaani Polisi waondoke.
Aliaga anaenda kwao kustaafu atakuwa kakimbia mji 😅Ila maisha haya ! Leo hasikiki tena achilia mbali kujia kama yupo ama la!
Ndiyo maana niliunganisha dotsLakinii mzee wa marope amejitokeza kumtetea Nilesh
TOKA MAKTABA :Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
TOKA MAKTABA :
August 13, 2025
State Oil yachangia Sh Mil 500 harambee CCM
Na Mwandishi WetuAugust 13, 2025
DAR ES SALAAM; Kampuni ya Usafirishaji wa Mafuta nchini ya State Oil, imechangia Sh milioni 500 katika harambee ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchangisha fedha kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Harambee hiyo ya kitaifa ilifanyika Dar es Salaam jana na zilichangwa zaidi ya Sh bilioni 86, kati ya fedha hizo, Sh bilioni 56.3 ni fedha taslimu na Sh bilioni 30 ni ahadi.
Mwenyekiti wa bodi wa kampuni hiyo, Nilesh Suchak amesema wameamua kuchangia fedha hizo kutokana na kuvutiwa na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan katika kukuza uchumi wa nchi.
View attachment 3628381
Picha maktaba : Mwenyekiti wa bodi wa makampuni ya State Oil ndugu Nilesh Suchak. Tovuti: StateOil Group State Group
Baadhi ya waliochangia ni Rais Samia (Sh milioni 100), CCM upande wa Zanzibar ulitangaza kukusanya Sh bilioni nne, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi alisema anachangia Sh milioni 50 na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira alichangia Sh milioni 20.
Wengine waliosimama na kutaja mchango (Shilingi) ni Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango (milioni 20), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (milioni 20), Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah alisema anachangia Sh milioni 20, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson anachangia Sh 20.
Dk Tulia alisema Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid anachangia Sh milioni 20. Wachimbaji walitangaza kuchangia Sh bilioni 16.2 na kampuni ya GSM imechangia Sh bilioni 10 na taasisi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara nao walichangia
NILESH - NITAWATAJA WAHUNI WANAOMTUMIA MWAIPOPO
MwanaCCM kindakidaki ndugu Nilesh Suchak akanusha madai ya Saidi Mwaipopo, kuna wahuni walinifuata kuniomba hela nikawakatalia ndiyo maana wananichafua kwa mizengwe.
Nitawaanika wale wahuni wote ambao niliwakatalia pesa ambao wameamua kunichafua na kuwafanya niondoke nchini kwangu kwenda kuishi Afrika ya Kusini.
Ni kweli nilimchangia Samia shilingi 500 milioni ila sijawahi kuwapa hela wa upande wa pili (CHADEMA)
View: https://www.threads.com/@maulidkitenge/post/Dan1fLIkfYS/media
NILESH - NITAWATAJA WAHUNI WANAOMTUMIA MWAIPOPO
MwanaCCM kindakidaki na mdau wa sekta ya uagizaji mafuta ndugu Nilesh Suchak akanusha madai ya Saidi Mwaipopo, kuna wahuni walinifuata kuniomba hela nikawakatalia ndiyo maana wananichafua kwa mizengwe.

Hela hazidanganyi. kanzu tupa kule...tunavaa kispot spot. JEans na raba mtoni 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
NILESH - NITAWATAJA WAHUNI WANAOMTUMIA MWAIPOPO
MwanaCCM kindakidaki na mdau wa sekta ya uagizaji mafuta ndugu Nilesh Suchak akanusha madai ya Saidi Mwaipopo, kuna wahuni walinifuata kuniomba hela nikawakatalia ndiyo maana wananichafua kwa mizengwe.
Litatuletea Humphrey Polepolekua mstahilivu na mwenye subra gentleman, Baraza kuu la chadema taifa linakuja mwezi September 🐒
Ufisadi wao umefika bilioni 40 za kagoda alizozisema Hayati Benjamin Mkapa?heche kafisidi pesa mingi sana gentleman,
Just relax na kua mstahilivu na mwenye subra, kwenye baraza kuu taifa September 15,2026 utaskia maajabu ya kiwango cha ufisadi wa kutisha wa heche na mnyika 🐒
Na nyinyi mnaosambaza habari za huyo mpumbavu madishi yenu hayasomi radar.Sheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
Cyprian Musiba nimemkumbuka huyu jamaaSheikh Said Mwaipopo ametoa tuhuma nzito dhidi ya Makamu Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akimtuhumu kwa vitendo vya utapeli na kujipatia fedha kwa njia za kutisha matajiri.
Katika maelezo yake, Sheikh Mwaipopo amedai kuwa Heche alisafiri hadi nchini Afrika Kusini na kupokea kiasi cha dola laki mbili kutoka kwa mfanyabiashara anayeishi Afrika Kusini akifahamika kwa jina la 'Nilesh', kwa lengo la kumsafisha kisiasa na kumtengenezea sifa nzuri.
"Heche amekuwa yeye ndio kinara sana wa kusema viongozi wa kiserikali kwa ubaya kwamba ni wezi, mafisadi. Heche nilimsikia akimsema waziri mkuu, Mwigulu Nchemba; kwamba Mwigulu Nchemba hana lolote, hana maana, kazi yake ni kusuluhisha ndoa. Sasa kwa nini yeye tukimgeuza na yeye tuone kama analika, tunamkuta na yeye amechacha, amevunda?"
Kwa hali ya namna hii waTanzania wataachaje kuwa bidhaa tu ya kununuliwa na kuuliwa wakati wowote wanunuzi wanapoona maslahi yao yanaghuswa!TOKA MAKTABA :