Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

Hizi taka ngumu ni za kuamshwa tu, usichoke kuziamsha.
 
Hizo ni rabsha za kisiasa kuelekea DP World Vs TICTS…wengine wamesajili maAskofu na Mapadri na wengine wamesajili ma Sheikh na waandishi

huku Mtaani maisha yanaendelea kama kawaida
mkiwasha data huwa mnadhani Dunia nzima ipo mtandaoni


Jamii kubwa sana ya Wakazi wa Jiji hawamjui Mwaipopo wala hawajui kama kuna Mkutano wa Maaskofu na Chadema hapo kesho
 
Kumbe ni Vita ya masilahi tu ?..... muhimu walaji wakubwa wanaopingana wapo Ccm.
 
MWAIPOPO ANA LAANA YA KUMKANA YESU

AMEKUWA TAHRA KABISA.
Hapa hakuna habari ya Yesu wala Mtume yeyote.
Ni habari ya watanzania na siasa zao.
Ujinga mkubwa ni kuwagawa watanzania.
Kama kuna facts zitollewe, watanzania waelewe wakiwa na dini zao, kabila zao na makundi yote ya kijamii.
Wapumbavu hawatakiwi kupewa majukwaa kwenye jamii na hata taifa.
Watu wenye akili nzuri huunganisha watu, na siyo kuwagawa.
 
Wewe acha ulofa hakuna asiyejua humuhimunwa bandari isipokuwa kuna namna ya kuelimishana na kukosoana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…