Ukitaka kuepukana na wajinga, una mambo mawili ya kuchagua
1. Uhame kwenye dunia hii
2. Ufe
Kwa kuwa yote hayawezekani, twendeni nao na tunawajibu wa kuchukuliana nao
Ila hili la bandari, haturudishwi na kelele za wajinga wasiojua umhimu wa rasilimali pamoja uhuru wa nchi na wananchi
Wanaoamini bandari ni za chadema, wabaki nyumbani
Wanaoamini bandari ni kwa masilahi ya watu wote, wenye dini na wasio na dini, ccm na wasio wa ccm, kesho mapemaaa uwanjani kusikiliza maelekezo ya wataalamu na wanasheria nguli nchini