Sheikh Ponda Issa Ponda Alama ya Uadilifu

Mzee Mohamed Said wewe ni mwislamu mnafiki. Kwenye uzi wako kuhusu vurugu za mabucha ya kitimoto ulisema wakati wa vurugu uliingia mitini na kuacha waislamu wenzako wakiingia kwenye matatizo. Kwa mfano hiyo picha uliyopost yenye swali " NECTA PAROKIA?" nia yake ni nini kwa wakati tuliopo? Inajulikana wewe ni mtu mwenye nia ovu dhidi ya amani ya nchi hii ndo maana watu kama nyie mtaishia kulalamika tu mtandaoni ila mkijitokeza dola inalala nanyi sambamba. Mzee acha chokochoko. Kama kuna watu wanakulipa kwa huu ushenzi unaoandika hapa JF waambie ni ngumu sana kutimiza huo ujinga wenu ndani ya Tanzania.
 
kwa kilugha kwetu hilo username yako maana ake ni mbuzi, nafikiri unazijua tabia na hulka za huyu mnyama, nilipoona komenti yako inafanana na tabia hizo nikasema labda ndo maana umeamua kujiita hivo,
Sikushangai, inawezekana na wewe ni miongoni mwa wenzetu wa kulalamika na kuhisi wanaonewa kwa kila jambo. Fanyeni mambo yenu kwa ajili ya maendeleo yenu, siyo kusubri huruma, uchokozi na maandano. Shari kwenu mnaiona kama ujasiri.
 
Naungana na wewe kwa % zote. Ni uchochezi na chuki zisiyokuwa na sababu "necta parokia". Wenzetu hawawezi kuaddress shida zao bila kuchokoza Imani nyingine alafu wapuuzi fulani wanataka serikali iruhusu maandano ya kipuuzi aina hii.
 
kwa kilugha kwetu hilo username yako maana ake ni mbuzi, nafikiri unazijua tabia na hulka za huyu mnyama, nilipoona komenti yako inafanana na tabia hizo nikasema labda ndo maana umeamua kujiita hivo,
Nadhani ungejiita "Wakulengwa" kwa hii comment yako ya kipumbavu uliyoandika
 
Marekani , uk na maeneo mengine ya west watu wanafanya maandamano haya ( wa dini mchanganyiko + hadi wasiokua wa dini) hili la kwanza.
Pili kutoona watu hawaandai maandamano yoyote kwa ajili ya ukraine sina jibu lakukupa hapa, lakini huwezi sema watu wasiandamane kisa hawajaandamana kwa ukraine
Msisitizo
Kwanza fahamu mgogoro wa israel na palestine ni wa muda mrefu (miaka ya kutosha mtu kazaliwa hadi kawa babu)
na ukifatilia hata nchi za west watu wameanza kua na muamko mkubwa kupita kiasi kipindi hiki kwa sababu ya wanachofanya israel wanabonda hadi mahospitali

Swali kwako; mrusi anachapana na ukraine kaua raia wa kawaida wangapi wa ukraine? Na israel anachapana na kikundi cha hamas ameua raia wa kawaida wangapi?

Mwisho siyo issue ya mgogoro wa kidini sjui nini , hii ni political conflict ,
NA ndomaana hata Vatican nayo inaungana na wengi kusema kwamba watu warejee kwenye two-states solution huku jerusalem ikipewa hadhi ya kipekee

hii october kilivowashwa kuna nyuzi hapa jf kuna mtu alitaka kuanza bla bla za conflict ya dini nikamjibu hivi na quote


Comment
Iwe wanampinga kristo hawampingi haiondoi au kubadirisha ambacho Mungu alisema!
Neno la Mungu halibadiriki!
Lkn pia Israel Kuna dini kibao km nchi nyingine..

My reply
kwenye mgogoro huu, mtu ukitaja na hoja za maandiko ya dini yoyote ile, tayari ushapoteza mantiki

The idea ni kupata suluhu hapo middle east
 
Lax: the point is, sishabikii mauaji yanayoendelea huko Gaza, issue ni aina ya uwasilishaji wa kibaguzi wa hoja ya mzee Mohamed kwamba Ponda ni mwadilifu ktk Uislamu na ndiyo maana anaratibu na kuandaa maandano kulaani kinachoendelea huko Gaza. Ameenda mbali kwa kuilaumu BAKWATA. Hii ina maana kwamba kama siyo Uislamu basi huyu mzee yuko tayari kuona jamii hisipokuwa ya kiislam ikimwaga damu. La sivyo kama swala ni kupinga na kulaani mauaji duniani, huyu mzee na Ponda wake wangeanza na Ukraine, au tangu mwanzo walau wangelilaani kilichofanywa na Hamas.

Kwamba Ukraine raia wangapi wamekufa? Nikushangae kidogo, unataka wafe wangapi ndiyo ujue kumwaga damu ni kitu kibaya?. Silaa za Putin uko Ukraine zinawabagua raia? Kifupi watu wa aina zote wanakufa Ukraine pengine sawa tu na kinachofanyika Gaza.
 
Sheikh Ponda ni mnafiki Wacongo waafrika wanauwawa kila siku hataki kuandamana lkn waarabu anataka kuandamana.

Mpuuzi wa kiwango cha SGR.
 

Issue ya bakwata tuweke pembeni maana hata waislamu asilimia nyingi huwa wanailaumu kwa mambo mengi sana,
Kuna namna unaweza sema ni kama cwt dhidi ya walimu.

Kuhusu kulaani matendo ya hamas ya hapa october,
HApa kwanza narudia kusema tena mgogoro ule ni wa muda mrefu,

Pili ukakasi wa kurukia kulaani hamas unakuja pale ambapo mataifa mengi yenye nguvu marekani, uk na washirika wake kikinukaga kama hivi raia wapalestina kwao hugeuka kama sio watu nahii haijaishia kwenye izo serikali tu hata media kubwa za west zinavoreport coverage ya habari mfano week ya kwanza baada ya hamas kushambulia hii october vyombo vya habari kama bbc, wanareport mfano " 50 israel citizens killed ... 50 palestians died"

Hapa nikuulize swali hata wewe kwamba 50 israelis killed (by hamas) , 50 palestinians died ( died kivipi kwanini hawaandika "killed" ambayo kwenye mabano (by idf)

Sasa ndo hali kama hii ikawa inaleta huzuni hata kwa baadhi ya wazungu na waamerica
IDF mwanzo ikareport hamas kawachoma moto watoto kama 40, kashindwa prove na infact ni uongo na zile claims zimepotea, lakini IDF hii hii imesha fyeka watoto wasio na idadi wakiwa mahospitali ama makambi ya wakimbizi

Taja media yoyote ya magharibi iliyolaani hili? Marekani, uk, france EU ??

(Utasikia tu kuna hamas walikua wamejificha mule)
swali la nyongeza ukisema wamewau kijumuishi kwa sababu kulikua na hamas mbona kule Westbank napo wapalestina wanadondoka izo nchi kubwa nani kakemea?

Wewe utapata ujasiri wa kulaani hamas unautoa wapi?



Issue ya ukraine sihitaji idadi ngapi sjui kusema kwamba umwagaji damu ni mbaya

Lakini unataka kunishangaa japo hujataja civilian casualties ya ukraine ipoje, maana ya palestina hii inafahamika na ipo wazi mtu kutoijali ni kufumbia macho tu,


Mwisho nikusihi mara mojamoja uwe unapitia aljazeera skiliza analysts wanaohojiwa kule chambua point zao vizuri.


Wewe kama kweli mpenda amani na mtu wa kukemea umwagaji damu itakua ni jamno la kushangaza kuona unaona huzuni kwa ukraine zaidi kuliko hali ya wapalestina itakua kitu cha kushangaza sana

Ni kama msanii mmoja pale marekani alipost instagram picha ya majengo yakiwa yamefyekwa vibaya mno with caption i stand with israel, baada ya kupata backlash kwanza ile picha ni ya gaza alifuta post na hakuongelea tena ( natumai unaona reality iliyopo)
 
Naungana na wewe kwa % zote. Ni uchochezi na chuki zisiyokuwa na sababu "necta parokia". Wenzetu hawawezi kuaddress shida zao bila kuchokoza Imani nyingine alafu wapuuzi fulani wanataka serikali iruhusu maandano ya kipuuzi aina hii.
Mbussi...
Umeghadhibika ndiyo kisa unatukana.

Nimeandika paper nzima ya mabucha: "Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma (1940 - 1994) And the Dar-es-Salaam Pork Riots of 1993," na hakuna mahali nimetumia lugha ya mitini.

Paper hii nilizungumza Kenyatta University 2006.
 
Lax: Nashukuru umegusia tatizo lilipo. Shida kubwa iliyopo ni kuwa baadhi ya watu wamechagua upande wa vyombo vya habari aidha vya Magharibi au vya Kiarabu. Propaganda za haya matukio zipo kila upande, lakini kwasababu watu wameshachukia mataifa ya Magharibi kila taarifa itakayotolewa kwao ni ya uongo na itakayotolewa na Aljazeera ni ya ukweli! Upotoshaji ni mkubwa kila upande. Yote kwa yote mauwaji ni makubwa kwa Wapalestina na yanapaswa kulaaniwa na kila mwanadamu. Shida ni pale baadhi watu wanavyolichukulia kama agenda ya kujiimarisha kidini.

Utakuwa Shahidi wewe mwenyewe, jinsi vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vinavyoripoti vifo vya watu Ukraine ni tofauti kabisa na jinsi Urusi inavyoripoti ikisaidiwa na hiyo Aljazeera. Muhimu ni kuwa makini na upotoshaji.
 
Mbussi...
Unajua chochote kuhuhu hayo hapo chini?:



 
Ni kweli Mohamed Said, inagadhabisha. Katika agenda yenu ya maandano kule NECTA kwa mfano, hilo bango la Parokia lilikuwa na maana gani kama si chokochoko za kidini? Kwanini mkiwa na madai yenu serikalini muwaingize na wasiohusika? Na si wewe tu mzee Mohamed, kuna wakati ukisikiliza Radio Iman utajuwa wazi kuwa nyie watu mmejaa chuki dhidi ya Imani ya watu wengine hasa katoliki.

Hayo ya Mwembechai tuyaache, lakini kitimoto kama ni kufru ktk Imani yenu, msilazimishe wengine.
 
Mbussi,
Maana yake watendaji Wakatoliki wamehodhi NECTA.
 
Uzi ufungwe hapa. Kwa nchi zetu ambazo watu wako na mahaba na dini bila reasoning ni sahihi kuyazuia maandamano. Nachelea kusema dini kwa mtu mweusi imegeuka shubiri badala ya kumstaarabisha. Tupo kama vipofu. Hatuchambui mambo kwa mapana. Mradi mwarabu au myahudi basi sisi akili zinayeyuka kabisa na hisia kushika usukani.
 
Mohamed, hapana. Ni mara yangu ya kwanza kuona hichi ulichokileta. Sikubishii lakini angalizo tu, propaganda ni kubwa sana tuwe waangalifu.
Mbussi...
Nimepita katika mikono ya wachapaji wakubwa ulimwenguni mfano wa Oxford University Press na wamenifunza mengi yenye faida.

Ninajua mengi sana kwa ushshidi.
Umesoma kitabu cha Abdul Sykes?

Kama bado anza na kitabu hicho.
 
Tuendelee kuwaombea wale watu wapate amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…