#COVID19 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

ex wangu alikuwa mwisilamu, tupo wengi tunaojamiiana na wa dini tofauti so alosema ni muhimu
 
Waraka wa KKT nani amaeandika,upo wapi?.
Hatuna KKT bali tuna KKKT chini ya Jemadari Mkuu Askofu Dr. Frederick Shoo akiwa na watenda kazi wake mahiri wapendwa Maaskofu Dr. Benson Bagonza, Dr. Stephen Munga na wengine wengi ambao Jiwe hataki hata kuwasikia. Kuna Kipindi Jiwe alitaka kuifuta KKKT ila Mwigulu alimuwahi na kusema hawana shida ya kuifuta KKKT. Moto wake ungekuwa bab kubwa. Nchi haingekalika.
 
Hujajibu swali mkuu, alafu acheni mambo ya vijiweni, jiwe alitaka kufuta Lutheran lini, huo waraka wa kkkt kuhusu corona upo wap?.
 
View attachment 1702454

Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania.

Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .

Chanzo: MwanaHalisi Digital
Mimi nilidhani amekubali abatizwe na kuwa mkristo kama hao KKKT.
 
View attachment 1702454

Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania.

Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .

Chanzo: MwanaHalisi Digital
Ni haki gani hizo ambazo Waislamu wanazikosa na yeye anazipigania?
 
Mungu ambariki kwa kusimamia ukweli , awamu werevu wote wsmegeuka waimba mapambio ya kusifu na kuabudu awamu hii ya mungu wa chato .
 
Hujajibu swali mkuu, alafu acheni mambo ya vijiweni, jiwe alitaka kufuta Lutheran lini, huo waraka wa kkkt kuhusu corona upo wap?.
Kwani kama una shida na kuupata waraka si uombe tu usaidiwe? Au Mzee wako amekupa kazi ya kuutafuta? Mnataka muufanyie nini? Lumumba mna mambo nyie!
 
View attachment 1702454

Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania.

Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .

Chanzo: MwanaHalisi Digital
Shekhe kapondwa anena
 
Soma vizuri tena ameongea kwa niaba ya Waislam wa Afrika, ikiwemo na Libya
Jumuiya anayodai kuiwakilisha ilishamkana kitambo!!! ...
Ni mawazo yake binafsi, na ya chama chake cha siasa alichojinasibisha wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita.
Lakini kama Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo yake wakati wowote anapojisikia, ingawa alichokinena hakina upy !.
 
Back
Top Bottom